M-pesa
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 602
- 151
Wana Jf naombeni msaada wenu!
Nimepanda bamia na maharage takibari wiki mbili zilizopita. Mimea ilipoanza kuchomoza sehemu zote nilizopanda, ina urefu wa kama sentimita mbili sasa.
Lakini nimegundua kuna baadhi ya mimea imeanza kutobolewa na wadudu kwenye majani, na baadhi yake kuonesha dalili ya kuungua.
Je, ni dawa gani inayofaa kupulizia ili kuondoa tatizo?
Asanteni