Dawa ya kuacha kupiga PUNYETO hii hapa

Dawa ya kuacha kupiga PUNYETO hii hapa

DR. MzeeKipusa umetisha sana kwa ushauri na nasaha zako za kitaalamu kwa wanao😀 . ila umeandika kabla kunawa uso 😀
Ni kweli Ndugu, ujue mpaka najishangaa asee....

Sasa inaelekea miezi ....no punyeto...no sex...no hamu ya tendo la Ndoa.....

Zamani "Yani Mimi nikae siku nzima bila kupiga punyeto mara tatu kwà siku???, namuogopa nani? kwani nimekua kitoto kichanga???"

Hakika najishangaa sana kwà mabadiriko haya. Sasa Mimi ni nani nishindwe kushare maujanja haya kwà wanangu ili na wao pia wanufaike???
932167860-Teacher-Feature-1-Margaret-Fuller-300x225.jpg
 
Ni kweli Ndugu, ujue mpaka najishangaa asee....

Sasa inaelekea miezi ....no punyeto...no sex...no hamu ya tendo la Ndoa.....

Zamani "Yani Mimi nikae siku nzima bila kupiga punyeto mara tatu kwà siku???, namuogopa nani? kwani nimekua kitoto kichanga???"

Hakika najishangaa sana kwà mabadiriko haya. Sasa Mimi ni nani nishindwe kushare maujanja haya kwà wanangu ili na wao pia wanufaike???View attachment 2739513
umenifurahisha sana kutokua mchoyo, kushare expirience na knowledge wala hujivungi... safi sana that good..
 
Dawa ya kuacha punueto ni kuoa TU, yaani kupata uhakika wa tendo kila uhitajipo.

Msidanganyane!.

Wewe acha punyeto fanya mazoezi kila ukisikia hamu, halafu uone kama utatoboa.
Ndoa ni kama sarafu ya fedha ( coin ) ...KWA SHIDA na Kwà Raha .

Unayajua maudhi ya Ndoa wewe, pale coin inapogeuka kuwa " Kwà shida"?

Unaweza kuwa na Mwanamke mzuri ndani, na hata usisimamishe....I mean, bora kupiga punyeto kuliko kusex nae...

Wapo watu Wana Ndoa zao, na wanalala vitanda au vyumba tofauti.
 
Nyeto ni mbaya na ina madhara makubwa sana.
Wengi wanao support nyeto ni ambao washazama katika uo uraibu na kutoka hawawezi kwaiyo wanajaribu kuhalalisha, lakini wakiwa peke yao wanalia na kusaga meno.
"Bora upoteze bao kwa malaya kuliko mikononi mwako ikibidi, sisapoti pia hizi issue za malaya" hii kauli aliniambia mzee wangu kipindi cha uhai wake.
Lakini nadhani nime eleweka, epuka sana nyeto.
 
Au sio! Umetisha Mzee Baba!!!
 
Mnajitahidi kuchangia ila maswala ya saikolojia hebu yatibuni kwa kubadili tabia zenu. Unataka uache nyeto wakati asubuhi mpka jioni upo kwa shemeji umekaa unaangalia movie. Hujishughulishi una vpn za kutimzamia xxx badilikeni ndipo muache nyeto
 
Sio rahisi kiivyo Ndugu yangu,....unaijua nyeto lakini wewe au una bwabwaja tu maneno!!!

Kama ulikua hujui ...nyeto ni issue hatari sana....ukisema uibane kwà kuchange Habit yako..ukaifukuza...yenyewe hukimbilia kwenye behavior yao,...huko nako ukiifukuza...inakimbilia kwenye attitudes zako....na huko nako ukiifukuza... inakimbilia kwenye character yako....yani inakua inatoka kule inakimbilia kule.....so hapo ni mpaka uwe na ujanja wa kuyaziba matundu yote!

Kiufupi, sio rahisi hata kidogo kuacha kupiga punyeto. Lakini kiukweli, daah chumvi imenisaidia sana mwanangu!!! Dah! Sio poa!!
 
Ni mawazo yako siwezi kukupinga. Ila utoto unakusumbua tu. Kitu cha kufanya kwenye balehe ww unaenda nacho hadi ukubwani jitafakari nyeto tu inakushinda maisha utayaweza?
 
Kwani ukiwa unapiga nyeto huwa hutembei na dem?

Au wewe huwa unaipigaje Mzee Baba?

Kwà Mimi ninavyoelewa;-...unaweza kuvuta picha ya dem mkali au ya dem uliyewahi kusex nae akakufurahisha , au ukawa una mix mix tu mipichapicha kwenye brain .....I mean...unaweza gonga hata madem 20 ndio bao likatoka.

Sasa Mkuu , hapo si unakua tayari ushatembea nao tayari ,..na tena wanakua wameishakupa minuksi, mikosi na mibalaa bila wewe kujua?View attachment 2739402
Uyo ni wewe, sio wote tunapiga nyeto kama yako ya kuvutia hisia kwa demu mkali, ko acha kugeneralize mambo unapotoa hoja zako.

Nyeto tunapiga tukiwa tu na nyege na by the way ata usipopiga nyeto ukiwa na nyege na hujachachua mda mrefu utaoiga bao ata usingizini.

Ko acha kutafuta kiki, kiki ni gigy na gigy ni wewe
 
Sio rahisi kiivyo Ndugu yangu,....unaijua nyeto lakini wewe au una bwabwaja tu maneno!!!

Kama ulikua hujui ...nyeto ni issue hatari sana....ukisema uibane kwà kuchange Habit yako..ukaifukuza...yenyewe hukimbilia kwenye behavior yao,...huko nako ukiifukuza...inakimbilia kwenye attitudes zako....na huko nako ukiifukuza... inakimbilia kwenye character yako....yani inakua inatoka kule inakimbilia kule.....so hapo ni mpaka uwe na ujanja wa kuyaziba matundu yote!

Kiufupi, sio rahisi hata kidogo kuacha kupiga punyeto. Lakini kiukweli, daah chumvi imenisaidia sana mwanangu!!! Dah! Sio poa!!
Yaan Na akili zako unaoga na chumvi ili utibu nyege.
 
Ni kweli Ndugu, ujue mpaka najishangaa asee....

Sasa inaelekea miezi ....no punyeto...no sex...no hamu ya tendo la Ndoa.....

Zamani "Yani Mimi nikae siku nzima bila kupiga punyeto mara tatu kwà siku???, namuogopa nani? kwani nimekua kitoto kichanga???"

Hakika najishangaa sana kwà mabadiriko haya. Sasa Mimi ni nani nishindwe kushare maujanja haya kwà wanangu ili na wao pia wanufaike???View attachment 2739513
Yaan unajisifu kabisa kwmaba huna hamu ya tendo la ndoa, huoni ilo tatizo.

Any way time will tell.

Ukiwa huna Hamu ya sex ilo ni tatizo kubwa snaa na matibabu yake yanaitaji garama kubwa mno.

Nawasifu sana wenye hamu ya sex kupitiliza had wanapiga nyeto, hao ndo wanaume halisi
 
Kufanya Punyeto ni Dhambi kwasababu ni tokeo la kuwaka tamaa ambayo pia ni dhambi kubwa

Kufanya punyeto kunamconnect Mtu na spirits of Lust

Aidha, kufanya Punyeto kunamuathiri Mtu Kiroho, kimwili na kiakili

Unaweza hata kukosa Mwenza sahihi wa kuoa/kuolewa nae kutokana na kufanya punyeto kwani inakukutanisha na mwanamke au Mwanaume kahaba kiroho
 
Ni mawazo yako siwezi kukupinga. Ila utoto unakusumbua tu. Kitu cha kufanya kwenye balehe ww unaenda nacho hadi ukubwani jitafakari nyeto tu inakushinda maisha utayaweza?
Wewe haya maisha umeyaweza tayari? Umejipata tayari?

Naomba unisaidie million 10 tafadhali!
 
Back
Top Bottom