Tumia vidonge vinavyoitwa Omeprazole kimoja kwa siku kwa muda wa miezi miwili mfululizo kitakwisha kabisa, hata kabla ya muda huo.habari wandug wana JF nina tatizo moja nikila maharage yaliyolala au yaliyoweka kwenye friji huwa nasikia kiungulia sana labda kama kuna mtu anayefahamu dawa yake huwa ni nini
Meza Omeprazole au Lansoprazole.
habari wandug wana JF nina tatizo moja nikila maharage yaliyolala au yaliyoweka kwenye friji huwa nasikia kiungulia sana labda kama kuna mtu anayefahamu dawa yake huwa ni nini
Usinunue dawa hosp...lamba majivu utaona maajabu.
majivu ni alkaline so yanaenda ku neutralize acid....
tumia vidonge vya magnesium vitakusaidiahabari wandug wana jf nina tatizo moja nikila maharage yaliyolala au yaliyoweka kwenye friji huwa nasikia kiungulia sana labda kama kuna mtu anayefahamu dawa yake huwa ni nini
duh, asanteni sana mwenzenu hata mimi nina hilo tatizo saaaana kiasi kwamba usiku mara nyingi huwa silali kabisa hadi night kali nadhani chakula kikishameng'enywa....thanks ila kwa maji nakunywa saaaaana hasa ya moto au vuguvugu kiasi kwamba hapa ofisini watu wananuna kwamba nawamalizia maji....kwa maji nakunywa sana
majivu ya nini mkuu? huku mjini labda majivu ya mkaa, yanafaa pia? asante
??? Nimeshindwa kuelewa.Kila Katanga kaangwa!