Dawa ya kitambi hii hapa

Bonge la treak, jamaa stage ya pili lazima alipungua kilo 20 hahaha

Nguli hii ni noma, Kimbweka..... nashindwa ku imagine huyu jamaa hiyo stage ya pili ilikuwage maana lilikuwa ni bonge la trick, nadhani hajawahi kukutana na mtihani kama huo maishani mwake .. to be fkd
 
Uoga tu alipungua kilo 20, kukimbizwa kilo 10
 
Jamani tumbo langu naona linaanza kua kubwa. Nadhani hukuninakoelekea nitakua naambiwa nina "Kitambi". I hate this.
Naombeni munishauri nifanye nini. Mimi wala sio mnene ni mwembamba tu wastani.
HINT: Sifanyagi mazoezi
Kama suala ni kufanya mazoezi naombeni wataalam munielekeze ni mazoezi gani nifanye.
Thanxini.
 
Tripo9 mbona kama unalijua suluhisho la tatizo lako??? Anza mazoezi ya kukimbia asubuhi kama kilomita 50 kwa siku, ni simple and affordable!!

Matokeo utayaona mapema sana. Usikubali mtu akikwambia punguza kula, labda vyakula vya mafuta na sukari kama bia, soda and chocolates!!
 
Copied that bro.
Ila Brklyn, kuna joke moja tulikua tukiongeaga na washikaji kwamba masuala ya kukimbia yanapelekea mtu kuishia na miguu myembambaaa aka fito kama ndugu zetu athletes.
Lakini kama tumbo langu litapungua kwa kukimbia mii niko radhi kufanya hivyo.
Thanx.
 
tripo9 mbona kama unalijua suluhisho la tatizo lako??? Anza mazoezi ya kukimbia asubuhi kama kilomita 50 kwa siku, ni simple and affordable!!

Matokeo utayaona mapema sana. Usikubali mtu akikwambia punguza kula, labda vyakula vya mafuta na sukari kama bia, soda and chocolates!!

bro,
mbona unamkatisha tamaa mwenzako?
Kukimbia kilometa hamsini ni nyingi sana,
hasa ikizingatiwa kuwa mtu mwenyewe hana utamaduni wa kufanya mazoezi.
Aanze taratibu,
ajinyoshe , achuchumae,ainuke arukeruke kisha akimbie umbali anaoweza,
kadiri siku zinavyoongezeka anatakiwa naye awe anaongeza urefu wa kukimbia na muda wa mazoezi ya viungo uongezeke.
Pia anaweza kufanya mazoezi ya seatup yatamsaidia kukata tumboz.
 
Search thread zangu utaona niliwahi kuweka bandiko lenye suluhisho hilo. Pia unaweza kuni join kwenye gym yangu au ni PM kama kweli uko serious nitakusaidia.
 
Kuwa na kitambi ni tatizo kubwa sana !!! Usikubali kabisa kuwa na mtumbo kama wa mama mjamzito.Punguza kula minyama ya mbuzi na ngombe na beer , Kula samaki badala yake.Kula mlo mdogo kwa wakati, Hii ni dhambi ya ufisadi kwa mwili wa mwanaume..!!
 
Tripo9 mbona kama unalijua suluhisho la tatizo lako??? Anza mazoezi ya kukimbia asubuhi kama kilomita 50 kwa siku, ni simple and affordable!!

Matokeo utayaona mapema sana. Usikubali mtu akikwambia punguza kula, labda vyakula vya mafuta na sukari kama bia, soda and chocolates!!

sasa hii sasa marathon baba yani km goli hadi goli azunguke mara 500?? mh kazi hapo ipo,afanye max ya 1,2,3,4,5-7km a day (day 1-7) from there anaweza ongeza kutokana na kunogewa
 
Ur what you eat!
mkuu huwa naipenda sana hii kauli.

tripo9 mkuu kama kitambi kinakuja hio inasababishwa na chukula bila mpangilio.kabla ujaenda mbali acha kula chakula kingi sana jioni.achana na wali jioni ningekushauri ule salad au matunda na kama umeshindwa basi kula kiwango kidogo sana cha chakula kama mida ya kumi nambili jioni usipite saa moja usiku.kula mboga za majani na badala ya wali weka viazi vitamu.

jaribu kula mara 5 kwa siku kila baada masaa matatu na huwe unakula mlo mdogo mdogo yani matunda hiwe sehemu ya mlo wako pia.mazoezi muhimu sana mkuu kimbia atleast mara 5 kwa wiki asubuhi au jioni inategemea na mda wako muafaka hata kwa nusu saa inatosha.
 
Nashukuru sana kwa ushauri wenu. Ntafanya mliyonipa hasa asubuhi coz ndo nko free.
Kaka nguli kwa sasa timetable iko tight kidogo. Ntakutafuta miezi flani ijayo ntakapokua free mida ya jioni.
 
Tunaomba pia mbunifu wa mtindo Mustapha Hassanali atupe kidogo tips kwani kawa kimobiteli kwa muda mfupi alipendeza alipokuwa na Naomi
 
arusha kuna club inaitwa.......karibu na masai camp, njia ya moshonao,pana club ya mazoezi ila wakimaliza mazoezi hicho kinywaji wakachokunya na huo mlo!!!!! matokeo yake wote wananenepeana kama wamepulizwa.
 
Jamani vp mambo ya kumuona daktari kwanza? is it necessary? Nimewahi sikia kuwa kabla ya kuanza mazoezi ni muhimu kuonana na dokta akupime afya yako na ujue uanze na mazoezi ya aina gani.Hii imekaaje waungwana?
 
Wakuu....your posts got me inspired....kajitambi kanakuja na kwangu....jana jioni I started with serious workouts.And I am determined to cut down my beer intake by 75% maana hiyo najua ndo sababu kubwa.

Shukrani....will keep you posted of my progress!
 
Hongera sana,ni uamuzi wa busara.Na mimi pia mmenishawishi ngoja nianze mazoezi niondoe kitambi.
 
Nashukuru sana kwa ushauri wenu. Ntafanya mliyonipa hasa asubuhi coz ndo nko free.
Kaka nguli kwa sasa timetable iko tight kidogo. Ntakutafuta miezi flani ijayo ntakapokua free mida ya jioni.

Poa unakaribishwa!
 
Vitambi vingine ni asili sasa angalia kama wewe ndo wa kwanza kuwa na kitambi katika ukoo wako! Wengine hata wangekula minyama na beer kila siku hawaoti vitambi kwa kuwa siyo asili yao akilazimisha sana anatanuka mashavu tuu
 
Back
Top Bottom