jofujulius09
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 105
- 50
Habr jf kama kichwa cha hbr kinavyojieleza.
Nasumbuliwa na jino je kuna dawa ya jino wanang!!
Nasumbuliwa na jino je kuna dawa ya jino wanang!!
Ok shukran kk nimekusoma kwa uzuri kabisa.Tumia dawa moja inaitwa MaraMol. Hii dawa inaweza kukusaidia kuondoa maumivu kwa muda mlefu sana.
Matumizi: Iwapo jino limetoboka chukua kidonge kimoja kata kipande kidogo weka kwenyetundu kilichobaki meza kawaida kisha kaa kwamuda utaona maumivu yanapungua au kuisha kabisa.
Matokeo: Unaweza usipate tena maumivu na hilo jino likawa linapukutika kidogokidogo mpaka likaisha kabisa
Tahadhari: Dawa ya jino ni kung'oa kwaiyo ni vyema ukaenda Hospital ukaling'oa, ili usijepata shida badae.
Acha kuzngua mtu nnavyo post uzi kma huu anakuwa anashida kwahyo kama unakuwa huna key point.