Dawa ya jeuri kuwa jeuri zaidi yake.......

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
9,109
16,681
BOY: mambo baby
GIRL: kimyaaa
BOY: nakusalimia mbona hunijibu baby
GIRL: kimyaaa
BOY: 576458588545852 baby vocha hiyo ingiza
GIRL: baby mbona haiingii
BOY: kama haiingii gongea na nyundo

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom