Hakuna kitu kama hasira bila sababu. Sababu ipo mkuu, ila huijui. Na vitu vitakavyo kusaidia kujua sababu ni hivyo hapo in bold. ukisha jua hasira inapanda wakati gani itakua rahisi kupunguza exposure na vitu hivyo, au kujifunza namna gani unaweza kuziwia hasira kupanda ikiwa unakutana na mazingira hayo.mkuu inshort nagombana na mtu yule atakaye nihusisha kwa njia 1 au nyingine kwenye mazungumzo.
Mfan nikuwa kwenye daladala kalibia watu wote waliokuwa wanaongea na redio pia ilikuwa imefunguliwa iliniboa sana nilishikwa na hasira na kama ningekuwa na uwezo ningeamuru redio izimwe na watu wote wawe kimya balaa na hasira zote zilimdondokea konda wakati akidai nauli mzigo wote wa hasira ulimwishia yeye.
Tatizo hasira sijajua zinatoka wapi maana nimekuwa na hasira pasipo sababu wala sijagombana na mtu.
Ila nikikaa na mtu ndani ya dk 1 lazima tutakwaruzana huwa najisonya pasipo hata sababu naweza nikaa nikawa nimeduwaa kama kunakitu nawaza/fikiria na ugomvi huanza mtu yoyote atokee na kunisemesha au kunidistable kwa namna moja au nyingine balaa huanzia hapo.
mkuu jongoo linapanda mtungi kama kawaida
ila semaga nikitambo kimepita sija DO na sinaga mpango wa wanawake naona kama wananitibua brain yangu.
tafuta maziwa ya ngamia.ni tiba tosha.
Tafta kicheche uowe
Hiyo itamuongezea immune za ku handle hasira. Think! husny think!khaaaaaa!
Hiyo itamuongezea immune za ku handle hasira. Think! husny think!
Lawyer lakini nakaa jirani na dentisthivi we ni dokta au loya.?
Lawyer lakini nakaa jirani na dentist
huwezi kula nyama hela hauna au huwezi kula nyama kivipi? fafanua ili dentist akuelewemwambie dentist nashindwa kula nyama, atanisaidiaje?
hao unaopenda kugombana nao ni wanawake au wanaume?Wakuu naomba kuuliza kama kuna dawa yoyote ya hasira.
Kwani sasa hivi nimekuwa na hasira ambazo nashindwa hata kujua chanzo chake ni nin?
Kwani nimekuwa sitaki au kusikia mtu yeyote akiongea mbele yangu au kunisemesha.Mpaka niandikapo post hii nishagombana na watu zaidi ya 7 kwenye simu na wa usoso kwa uso hawahesabiki.
Naomba msaada wenu wataalam hali hii huweza sababishwa na nin na tiba yake ni nin??