Heshima mbele wakulu!
Ninasumbuliwa sana sana na Fungus sa miguuni na Muwasho na michubuko pembeni mwa mapumbu/mapajani.Nimeshatumia dawa kama Daktarin Powder kwa miguu,zinanisaidia sana,lakini nikiacha ck 2 au 3 zinarudi upya,mapajani ninatumia cool powder,prickle heat etc..bado hazinisaidii sana.
Nataka kutibu haya matatizo moja kwa moja,wenye uzoefu na utaalamu tafadhali naomba msaada.
Wapendwa,
Kwa muda mrefu nasumbuliwa na fungus za vidole vya miguuni (hasa kile cha pembeni kwa kila mguu). Hali hii imenifanya nishindwe hata kuvaa viatu kwa raha.
kama kuna anayejua dawa ya kunisaidia, tafadhali naomba anielekeze.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA AWALI
tumia mycota powder kila unapovaa viatu, hii dawa inauzwa TSH 10,000 hadi 15,000. unanyunyizia kwenye miguu pamoja na sox
Wapendwa,
Kwa muda mrefu nasumbuliwa na fungus za vidole vya miguuni (hasa kile cha pembeni kwa kila mguu). Hali hii imenifanya nishindwe hata kuvaa viatu kwa raha.
kama kuna anayejua dawa ya kunisaidia, tafadhali naomba anielekeze.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA AWALI
Fungus hupenda unyevunyevu sana, ndiyo maana fungus vipo zaidi kwenye sehemu za joto ukienda sehemu za badiri kama Mbeya huwa hamna fungus ukilinganisha va pwani. Ushauri wa kitaalamu (mimi ni daktari) ni huu.
Hakikisha usafi unazingatiwa, jaribu sana kuwa na wakati ambao unakaa with open shoes. Tumia dawa ya fungus, hasa ile ya powder kama mycota kwa kipindi kirefu 6-8 weeks. Matibabu ya fungus huchukua muda mrefu, na hakikisha kwamba kuna ukavu katikati ya vidole. Soksi zako zibadilishwwe kila baada ya siku chache. Achana na huu ushauri uliotelewa kama kutumia dawa ya mswaki au vingine mabyo nimeviona hapo juu. havisaiidi.
Wapendwa,
Kwa muda mrefu nasumbuliwa na fungus za vidole vya miguuni (hasa kile cha pembeni kwa kila mguu). Hali hii imenifanya nishindwe hata kuvaa viatu kwa raha.
kama kuna anayejua dawa ya kunisaidia, tafadhali naomba anielekeze.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA AWALI
Twanga kitunguu swaumu kimoja changanya na maji kijiko kimoja kisha meza.Naomba msaada wa dawa kama itakuwepo nime2mia dawa nyingi sana na hospital nyingi sana kupata sululisho la mguu wangu umepata fungus tangu mwaka 2010 ila kila nikitibiwa cpati nafuu plz nisaidie doctor