Dawa ya aids: Majaribio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya aids: Majaribio

Discussion in 'JF Doctor' started by m_kishuri, Dec 21, 2011.

 1. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  [h=1]HIV/AIDS vaccine developed at Western proceeding to human clinical trials - media conference[/h]


  TORONTO - Canadian researchers have been given the green light for human testing of an experimental HIV vaccine, but the initial trial will determine only its safety, not whether the vaccine works to prevent infection with the virus.
  The U.S. Food and Drug Administration granted approval for researchers at the University of Western Ontario to test the vaccine, which is based on a genetically modified killed whole virus.
  The SAV001 vaccine, developed by the lab of Dr. Chil-Yong Kang with financial support from Sumagen Canada, has been shown to stimulate a strong immune response in preliminary toxicology tests.
  "FDA approval for human clinical trials is an extremely significant milestone for our vaccine, which has the potential to save the lives of millions of people around the world by preventing HIV infection," suggested Kang, whose research lab has spent the last 10 years developing the vaccine at a cost of about $10 million.
  Kang said his team decided to seek FDA approval for the Phase I clinical trial because testing will be done in the United States, where the candidate vaccine is being produced. He said the stringent requirements of the U.S. regulatory body would also make it easier to seek approval for widespread commercialization of the vaccine in other countries in the future.

  HIV Vaccine: FDA Approves Human Trials Of Promising Vaccine, Uses Killed Whole Virus
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Cool, keep it up guys.. You have our support! Ukimwi ukipata dawa au hata kinga tu maisha yatakuwa marahisi sana, Just imagine unajisikia kuumwa umwa halafu ukienda kupima wanakwambia una ukimwi. Basi unaenda zako famasi unanunua dozi yako ya ngwengwe unaendelea na maisha. lol...
   
 3. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Si dawa...ni 'Chanjo'! Kuna tofauti kati ya dawa na chanjo. Dawa inatibu ugonjwa ambayo tayari mtu ameshakuwa nao, kwa case hii...mtu mwenye HIV/AIDs tayari!

  Chanjo anapewa mtu mzima wa afya hasiye na ugonjwa ili hasipate uginjwa husika. Kwa case hii..hawa wanatafiti chanjo ambayo mtu unaweza pewa ili husipate HIV/AIDS hata unapoambukizwa. Kuna chanjo kama hizi nyingi tuu zimeshajaribiwa sehemu mbali mbali duniani, hapa Tanzania ilifanyika moja pale Muhimbili chini ya chuo kikuuu cha sayansi ya tiba (MUHAS)..ikaonyesha mafanikio kwa kiasi fulani (Prof Pallangyo alitangaza kwenye vyombo vya habari), sijui inaendeleaje?!
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Inabidi Serikali ifanye utaratibu wa kutoa hiyo chanjo kwa wananchi wake ili tusizidi kuangamia na hili Gonjwa jamani...
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Unataka uwe unakukuruka bila wasiwasi hee!
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ukimwi na Tz ukimwi na Afrika ni janga litakaloacha pengo kubwa lisilosahauli kwa Jamii zetu
   
 7. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  TANMO...tafiti za madawa au chanjo huwa zina stage/phases mbali mbali (kama 4 hivi kama kumbu kumbu yangu iko sawa), dawa/chanjo kuweza kuthibitishwa na kusajiliwa ni lazima ionyeshe mafanikio kwenye phase si chini ya 3..na matokeo yake lazima kwanza yapelekwe kwenye scientific debates...kwa siyo kwamba kwa sababu imeonyesha mafanikio fulani kwenye site moja tu, basi inathibitishwa na kuanza kupewa watu.

  Kuna chanjo mbili hapa Tanzania zimeonyesha mafanikio kiasi..chanjo ya Malaria Bagamoyo, na hii ya HIV Muhimbili...ni mpaka tafiti iishe kwa kupata wagonjwa wa kutosha, data ziwe analysed, na matokeo yajadiliwe...then tunaweza sema tuna chanjo tayari! Lakini majaribio kuonyesha mafanikio ya awali ni jambo jema pia, inaonyesha hatuko mbali suluhisho.

  NB: wakati chanjo inasubiriwa kwa hamu, jitahidi husiambukizwe HIV, kwani chanjo haisaidii aliyeambukizwa tayari, bali inazuia maambukizi kwa ambaye bado hajaambukizwa!
   
Loading...