Dawa nyepesi ya kuondosha maradhi mwilini

Dawa nyepesi ya kuondosha maradhi mwilini

Kama apple cider vinegar ni ngumu kuipata tupe mbadala!kama apple vinegar ni acidic au basic tunaomba mbadala ili mambo yawe sawa!!chapa simba ipo sana tu!ishu ni hilo tunda la adam na hawa siki yake!!!!
 
Tafuta siki ya zabibu inayo itwa kwa jina Vinegar.
 
Haukwenda Shule nini Mkuu?umekimbia umande wa Asubuhi?Hebu soma vizuri upate kuelewa pamoja na kujuwa sijasema Baking Soda na Apple Cider Vinegar peke yake soma vizuri hapo juu ndipo utakapo pata kuelewa.
Waeleweshe basi si kukimbilia eti hawajaenda Shule si kila kitu Mtu anakijua,we umeamua kutoa elimu basi elimisha wasio elewa

mwongo atofautiani Na mchawi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom