Dawa nyepesi ya kuondosha maradhi mwilini

kuipata apple cider vinegar 'with mother' ni mziki nishatafuta mno masupermarket ya dar na mwanza lakin sikupata
Ukipata hata ya kawaida Apple Cider Vinegar iwe Organic inatosha.

APPLE CIDER VINEGAR.jpg
 
Yahoo News, 25 August 2017 ...

Does apple cider vinegar promote good health? Expert: 'it’s not a magical elixir'

Nanukuu baadhi ya maelezo kwenye hiyo makala: ''... Hogan added that a potential downside to apple cider vinegar is that "it's really acidic, especially if you consume it in its concentrated form,"...
Propanga za Wazungu Apple Cider Vinegar inapokuwa nje ni Acid lakini unapo ichanganya na Maji ya Uvuguvugu na Asali na ukanywa inakuwa ni Alkaline. Na inatibu maradhi mengi mwilini mwako.
 
u
Haukwenda Shule nini Mkuu?umekimbia umande wa Asubuhi?Hebu soma vizuri upate kuelewa pamoja na kujuwa sijasema Baking Soda na Apple Cider Vinegar peke yake soma vizuri hapo juu ndipo utakapo pata kuelewa.

Unachotakiwa utoe ufafanuzi na si kusema kuwa anaelimu au hana, uwe lugha iliyo nzuri unapoleta uzi ambao ni elimu kwa wale wanaousoma, vinginevyo usilete.
 
u


Unachotakiwa utoe ufafanuzi na si kusema kuwa anaelimu au hana, uwe lugha iliyo nzuri unapoleta uzi ambao ni elimu kwa wale wanaousoma, vinginevyo usilete.
Nilete Ufafanuzi wa kitu gani tena?Wakati nimeweka kila kitu kipo wazi? Wengine mnakuja kuniharibia Thread yangu kwa makusudi kwanini hamfunguwi Thread zenu na sisi wengine tukaweka maneno yetu? Kama hujuwi kitu bora uulize sio kuleta maneno ya pumba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom