Kaparatus Member Joined Oct 14, 2011 Posts 32 Reaction score 6 Nov 23, 2012 #21 Tumia COLGATE PRO RELIEF SENSITIVE itamaliza tatizo lako mkuu, pole sana.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Nov 25, 2012 #22 Hapa suluhisho ni kwenda kwa daktari ili yeye mwenyewe akuone! Mi nimeeshaambiwa dawa nyingi sana lakini baada ya muda ganzi tena inarudi.
Hapa suluhisho ni kwenda kwa daktari ili yeye mwenyewe akuone! Mi nimeeshaambiwa dawa nyingi sana lakini baada ya muda ganzi tena inarudi.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Nov 25, 2012 #23 Check white dent za buguruni?
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,902 Reaction score 15,931 Feb 23, 2021 #24 bidada said: Sensodyne ni nzuri zaidi sema bei kidogo iko juu. Click to expand... Bei gani?
vannistelrooy JF-Expert Member Joined Jan 31, 2017 Posts 318 Reaction score 657 Feb 24, 2021 #25 screpa said: Bei gani? Click to expand... Elfu 6 tu mkuu, ukiingia supermarket unazikuta