kid ink tz
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 307
- 320
Hujui kufatiria siku zako ujue siku gani ya hatari na siku gani ya freeNi dawa gani nzuri ya kuzuia mimba isiyo na madhara kwa mtu ambae hajawai kuzaa .mambo ya kutelekezewa watoto hatutaki kwa kweli.