Dawa gani nzuri ya kuzuia mimba wakuu

Dawa gani nzuri ya kuzuia mimba wakuu

Post coital pills-vidonge ambavyo hutumiwa ndani ya Massa 72 baada ya kushirik ngono isiyo salama.huaribu mpangilio wa hormone na kuzuia mimba kutungwa..

Combined oral contraceptive-huzuia mimba kwa kufanya majimaji ya ukeni kua mazito zaid hvyo huzuia mbegu za mwanaume kupenya na kufikia yai.

Implants/implanon ..hii ni njia ya kuweka kijiti ambayo ni ya muda mrefu either miaka miwili,mitatu na kuendelea.

Calendar..hii ni njia ambayo mtu hufanya mapenzi katika siku salama tu na kuacha kufanya katika siku hatarishi.

Withdraw.. Hii ni njia ambayo mwanaume huchomoa uume kwenye uke kabla ya kufika kileleni na kutoa manii nje ya uke..

Condom..hii hutumiwa zaid na vijana wengi lakin kuna watu wako allergic na materials zinazotengenezea condom,japo si wote

Note..njia zote hua na madhara na baadhi hazifany kazi 100% .

USHAURI:Katika njia hizo zote na nyingine chagua njia moja kuliko kufanya abortion kwan abortion ina madhara mengi kuliko kutumia hzo njia..
 
Asante mkuu
 
Condomu nawashwa mwili mzima,full kichefuchefu
Halafu ukitumia condomu kuna tofauti gani na punyeto?
Hayo maneno ya kuwashwa na kondom kuna demu nilimshangaa alikataa kumgegeda na condom kwasababu eti inamuwasha.
 
Dunia imejaa mengi, kuna Dada juzi tulikuwa tunapiga story, nikamuuliza hivi wewe unaweza je kutokana na wanaume tofauti kila weekend? Huogopi majonjwa na mimba?

Akajibu, kupata ukimwi ni ajali, nikamuuliza vip mimba? Maana tiyari wahuni walishamfanya single mother.

Akajibu yeye kwa sasa hawezi pata mimba, wakati ule alikuwa hajakomaa.

Akasema akimaliza, huwa anameza njegere kavu au anameza fragile, au pilton,mmmh aisee

Hivi kwa nn watu wanaogopa mpira??
 
Mpira haugopeki my dia
Tatizo la mpira kwangu ni inaniumiza mixer hainogi kama kavu
 
Ni dawa gani nzuri ya kuzuia mimba isiyo na madhara kwa mtu ambae hajawai kuzaa .mambo ya kutelekezewa watoto hatutaki kwa kweli.
Mbona rahisi sana. Ni wewe tu kujua mzunguko wako na kuzijua tarehe zako za hatari. Kwa hiyo unapokutana na mtu wako unamwambia tu ni siku ya hatari achomolee nje. Lakini isiwe hawa vijana hawa wa siku hizi hawa hawajielewi kabisa. Ukimwambia siku ya hatari ndio atataka aonyeshe mbwembwe zake,halafu siku ukimwambia una ujauzito anakuambia tuzae kumbe ni njia ya kukuterekeza. Kesho atakuita single mother
 
Back
Top Bottom