Dawa gani nzuri ya kuzuia mimba wakuu

Dawa gani nzuri ya kuzuia mimba wakuu

Dunia imejaa mengi, kuna Dada juzi tulikuwa tunapiga story, nikamuuliza hivi wewe unaweza je kutokana na wanaume tofauti kila weekend? Huogopi majonjwa na mimba?....
[emoji44][emoji44][emoji44] Hujambo?
 
Condomu nawashwa mwili mzima,full kichefuchefu
Halafu ukitumia condomu kuna tofauti gani na punyeto?
Condom unasikia kichefuchefu...hi ni.mpya kabisa...zamani nlikua naamini condom hazina Raha...ila sio kweli Zina Raha tu sanaa
 
Uncontrollable utamu hasa hizo hot days hizo ni hatari kweli ukitaka kujua kuwa hizo siku ni mbovu nenda kwenye ule uzi wa mahali hatarishi ulipofanyia mapenzi, wachangiaji wengi ni wanaume lkn kumbuka wanafanya na wanawake

Kila heri naamini ntakuwepo hapa kupokea mrejesho
Kumbe mkuu mkikaribia bleed mnakuwa na minyege Kama yote?

Na mkiwa tayar kweny kipind cha bleed hiyo Hali inawakuta? au mnaugulia maamumivu ya hicho kipind
 
Ni dawa gani nzuri ya kuzuia mimba isiyo na madhara kwa mtu ambae hajawai kuzaa .mambo ya kutelekezewa watoto hatutaki kwa kweli.

Achana na madawa. Go for Coitus Interruptus. By far the Safest and best method.
 
Ni dawa gani nzuri ya kuzuia mimba isiyo na madhara kwa mtu ambae hajawai kuzaa

Kuzuia mimba haijalishi umezaa au Haujazaa

Kuzuia mimba ipo kote

kusema dawa kwa "Ambae hajawai kuzaa"

Unakua kama umejiweka pembeni hivi,ili isionekane ni wewe (UNAETAFUTA)

anyway (tushajua)

Dawa unaitafuta wewe (tunajua umezaa)

ungekua tu huru kuishia Dawa ya Kuzuia Mimba
 
Dawa nzuri na salama kuliko zote

Utambue mwili wako hakikisha uko na stable days zisizo ruka ruka

Ukiona siku zako hazieleweki,Anza kuhakikisha zinaeleweka

Epuka mavyakula hatarishi maana mwili unapoupa ma chemical ndio shida ya siku kuruka ruka huanzia

Ukishahakikisha siku zako zimekaa sawa kama ni kila tarehe 3 basi iwe hivyo kila mwezi

Then kifuatacho ndio cheza na kalenda yako.

Haina shortcut hiyo kama kweli una maanisha "njia salama" na sio bora Njia

Ila ukitaka njia zingine watazosema salama,kataa ukubali zina "madhara yake"

The only safe way ni wewe kupunguza mshawashi na kuweza ku u control mwili wako

Maana haya mambo bwana hayanaga shozniga wala rambo wala sinsia NYEGE zikikaba unasahau hata Kalenda

take control over yourself. (sio rahisi hiii,yahitaji maombi shekheeeee)
 
Kumbe mkuu mkikaribia bleed mnakuwa na minyege Kama yote?

Na mkiwa tayar kweny kipind cha bleed hiyo Hali inawakuta? au mnaugulia maamumivu ya hicho kipind
Siku 14 baada ya damu ndo siku za kupata mimba( hot days) hapo mwili huwaka sana karibia wanawake wote, huchukua takribani siku 4

Na siku moja au mbili kabla ya kuanza damu napo hutokea kamuwasho flani ila si mara zote ama kwa wanawake wote,, hapa ni rahisi kujizuia lkn hapo juu ni ngumu
 
Ni dawa gani nzuri ya kuzuia mimba isiyo na madhara kwa mtu ambae hajawai kuzaa .mambo ya kutelekezewa watoto hatutaki kwa kweli.
Chinese Ring, hii wife ameitumia hadi miaka minne bila tatizo lolote hadi tulipoamua kuzaa tena. Google uone faida zake. Zingine zote zinazingua labda condom,
 
Nimecheka!
Kumbe ukizaa ndio raha ya sex inaongezeka!

Natarajia kupata mtoto wangu wa kwanza 2021...tukijaaliwa uhai nitakupa mrejesho wa huo utamu😂😂
Mbona. Bado hujapata sasa!!
 
Back
Top Bottom