Dawa gani nzuri ya kuzuia mimba wakuu

Dawa gani nzuri ya kuzuia mimba wakuu

Hapa ndo unafiki wa watz ulipo, hivi ni njia gani ya kuzuia mimba isiyo na madhara kiafya,

Condom inapunguza utamu

Kuhesabu siku ni ngumu sababu hizo siku za kupata mimba ndipo mwanamke huhitaji sana duduwasha kuliko siku zote,, mwanaume kuchomoa nayo si kazi nyepesi

Njia hizi kidogo zina nafuu lkn madhara yake ndo kama hivyo, nyinginezo ndo balaa zaidi

Aache ngono, ajichue au ashiriki ngono na jinsia yake hapo mimba ataisikia kwa jirani
kwaiyo unahamasisha usaganaji na ushoga
 
Njia salama ni hii
IMG_0728.JPG
 
Condom inapunguza utamu

Nakazia hapa ex shareholder

Kwangu mie njia rahisi ya kuzuia mimba ni ya calendar...niko makini kupita maelezo,chumbani kwangu nina calendar kabisa ambayo huwa namark siku niliyoanza period na siku nazojua nikifanya sipati mimba

Na mara nyingi huwa nachukua tahadhali kwa kuacha siku moja nyuma...mfano safe days ni nne,basi mie kama kufanya nitafanya siku tatu ile ya nne naicha tu kama sadaka

Nyege zikizidi ama baby akimiss naprefer kutumia condom japo ndio vile tena sipendi

Kimsingi njia ya calender ndiyo salama zaidi kiafya...mimi sio mzuri sana wa kutumia vidonge vya aina yoyote,ni muoga sana wa dawa hata nikiumwa

Don Clericuzio bado naisubiri hiyo siku
 
Nadhani hii ni favorable Zaidi, ila iwe ni agreement ya pande zote.
 
Dunia imejaa mengi, kuna Dada juzi tulikuwa tunapiga story, nikamuuliza hivi wewe unaweza je kutokana na wanaume tofauti kila weekend? Huogopi majonjwa na mimba?

Akajibu, kupata ukimwi ni ajali, nikamuuliza vip mimba? Maana tiyari wahuni walishamfanya single mother.

Akajibu yeye kwa sasa hawezi pata mimba, wakati ule alikuwa hajakomaa.

Akasema akimaliza, huwa anameza njegere kavu au anameza fragile, au pilton,mmmh aisee

Hivi kwa nn watu wanaogopa mpira??
Njegere kavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dddaaah. Naskia leo mimi
 
Back
Top Bottom