Dawa: Akina dada wachepukaji

Dawa: Akina dada wachepukaji

Jamaa kafanya vizuri. Dem kamwaga ugali jamaa akamwaga mboga na kukomba kabisa
 
now you talking, lakini huyo demu ni kiazi.

Wanawake wanalalamika kudhalilishwa lakini mda mwingine wanataka wenyewe kilicho msibu kumtumia x wake hyo clip ni nini kama sio alikuwa anaomba kudhalilishwa kwa nguvu "hollow head"
 
Hii dunia ya sasa ................
Mpaka nashindwa kucomment
 
Mwanamke umeachana nae, Clip yake akiduu inakuumaje? Si ni bora angemtumia hata rafiki wa huyo Dada kama ilimuuma sana? Kisha akamwambia amweleze rafiki yake ajirekebishe! Baba anahusika vp?
 
Hata shetani anawashangaa baadhi ya vijana wa sasa!!
 
Hivi mtu ukikaa uchi(kutuma video wakat unaliwa) na mtu mwingine akakuangalia(kukusaidia kufoward ili watu wengi wakuone zaidi kwa sababu hukuweka limit ya nani na nani atumiwe hiyo video) nani mwenye upungufu wa akili...
Ukikubali ushauri wa kipumbavu(kurecord porno) na wewe ukaufanyia kazi wewe ni mpumbavu na usilaumu yoyote kwa matokeo yoyote yatayotokea....
Hekima nikuondoa chanzo cha tatizo na siyo kuhitaji huruma kutokana na matokeo....
 
Hapo mjinga ni huyo mwanamke,mtu mshaacha ya nn kumtumia sex clips??

Ukimwaga mboga,watu wanamwaga ugali
 
Mademu huwa wanaakir ya hivyo sijui kwann akisha mpiga chini jamaa yake wazani hata kama hawajaagana rasmi anataka we mpya ndio huwe unapokea hata simu za mpez Wa zaman, hapo atakupa story kibao kuhusu huyo Wa zaman Na we ukiunga mkono basi anatafta namna ya kumdhalilisha akiwa Na we mpya ,
 
Huyo dada hakufikiri laiti angejua asingefanya kitu hicho huo ndio.mshahara wa dhambi amejitia aibu bure
 
Hapo jamaa hakutumia busara hata kidogo kwan huyo dada alitumwa achepuke na baba yake ? Fikiri kabla ya kutenda ...jamaa hapa alitumia tenda kabla ya kufikiri
 
Mademu huwa wanaakir ya hivyo sijui kwann akisha mpiga chini jamaa yake wazani hata kama hawajaagana rasmi anataka we mpya ndio huwe unapokea hata simu za mpez Wa zaman, hapo atakupa story kibao kuhusu huyo Wa zaman Na we ukiunga mkono basi anatafta namna ya kumdhalilisha akiwa Na we mpya ,

hii ipo sana kwa vidume!!!
 
Back
Top Bottom