Dawa: Akina dada wachepukaji

Dawa: Akina dada wachepukaji

sasa sababu ya kumtumia baba ake hio clip ni nini?? Kwani yeye aliituma kwa mama wa huyo jamaa yako??!!!
Ili kujua tabia ya bintiye na asije shangaa mbona hawako pamoja.
Anyway na huyo binti kwa nini alituma hiyo video kwa x wake?
 
ili kujua tabia ya bintiye na asije shangaa mbona hawako pamoja.
Anyway na huyo binti kwa nini alituma hiyo video kwa x wake?

mi nawasiwasi huyu hajatuelezea vizuri ugomvi wao wote.....pia yawezekana jamaa kazi hawezi akamtumia video kumdolishia mwanaume mwenzie
 
Hii imemtokea jamaa wangu wa karibu, walikuwa katika mahisiano takriban miaka miwili.

Baadae ilikuja kugundulika mwanamke ni mchepukaji, anagawa penzi kwa vidume wengine.

Muda siyo mrefu jamaa akaamua kumpiga demu chini.

Kitendo cha huyu demu kupigwa chini na mshkaji kilimuuma sana na baada ya wiki moja demu akaamua kutengeneza video akiwa na mchepuko wake kisha akamtumia mchizi wangu hiyo Clip.

Jamaa hili jambo lilimuumiza sana na ile clip alinionyesha namna demu alivyokuwa anakazwa huku akiamriwa na huyo mchepuko wake aropoke maneno ya kumtusi jamaa wangu wakati wanasex.

Jamaa aliniambia nimshauri nini cha kumfanyia huyo demu wake nikamwambia hiyo clip ingekuwa vyema ukamuonyeshe babaake mzazi maana mlishatambulishana kwa wazazi wake na wanayo taarifa kuwa mna mipango ya kufunga ndoa.

Jamaa aliniambia hakuwa na sababu ya kuchoma mafuta mpaka kwa wazazi wake ilhali hategemei kurudiana na huyo demu wake, kimasikhara jamaa aliituma Whatsapp kwa baba mzazi wa msichana bila ajizi.

Mpaka sasa sijajua kilichoendelea huko.

Wanawake kuweni makini siyo kila mwanaume utaweza kumdhalilisha akakuvumilia.






Fanya yako na rafiki yako katu msimwingize baba mkwe mtarajiwa katika upuuzi huo. Mzee wa watu ana kosa gani?
 
sasa kumtumia baba yake mzazi ni upungufu wa akili huo ,, wote walikuwa hawana akili....... walikutana kama hupendwi hata ufanyaje hutapendwa

Sasa kumtumia ex wako ni upungufu wa akiki huo wote walikua hawana akiki walikutana kama nimemwacha kwa nini anirushie ?
 
I don't like him, But at this point I couldn't agree more! I was literally just saying this....
 
Back
Top Bottom