Dawa: Akina dada wachepukaji

Dawa: Akina dada wachepukaji

Huyu msure lazima amuonyeshe mkewe na kumwambia hebu ongea na binti yako, ndiyo nini hiki? N a sidhani kama huyo baba mzazi atakuja pokea mahari ya huyo binti...
 
Sasa mleta uzii mi nitakuamini vp unachosema kama kina ukweli..??
Embu nitumie hiyo clip niione kama ili ku-prove unayoyasema!
 
Au we unaionaje mkuu?? mimi simuamini hata kidogo mpaka ni-prove

Kuna utata mkubwa hapo......mim nilovo na hasira ningeisambaza hiyo video kwa marafik zake maana bint kaamua kujidhalilisha....Kuachwa tu tena kwa sababu ndo anafanya huo ujinga...Ingekuwaje kama jamaa ndo alikuwa mchepukaji....mabint wanaharibika
 
Kuna utata mkubwa hapo......mim nilovo na hasira ningeisambaza hiyo video kwa marafik zake maana bint kaamua kujidhalilisha....Kuachwa tu tena kwa sababu ndo anafanya huo ujinga...Ingekuwaje kama jamaa ndo alikuwa mchepukaji....mabint wanaharibika

Duuuh we ndo ungeharibu kabisaa bora jamaa kamtumia baba mzazi...! Its like bado ni family matter halijatoka nje.
Kwa wewe angekuwa akikuona anaangalia chini kwa aibu.


Yaani sikuhizi ukipata mwanamke anaejielewa unabaati!
 
Hivi mtu ukikaa uchi(kutuma video wakat unaliwa) na mtu mwingine akakuangalia(kukusaidia kufoward ili watu wengi wakuone zaidi kwa sababu hukuweka limit ya nani na nani atumiwe hiyo video) nani mwenye upungufu wa akili...
Ukikubali ushauri wa kipumbavu(kurecord porno) na wewe ukaufanyia kazi wewe ni mpumbavu na usilaumu yoyote kwa matokeo yoyote yatayotokea....
Hekima nikuondoa chanzo cha tatizo na siyo kuhitaji huruma kutokana na matokeo....

Point kaka
 
Kitu nisichopenda ni unafiki, huyo demu alivyotuma clip alimwambia x wake kuwa asiisambaze zaid yake tu, braza watu humu bado wana clip ile ya ngasa hawajafuta kama demu alikutumia hakukupa limitations za kusambaza we sambaza km zingine zinavyosambazwa tu tuma kwa baba mdogo wake,kaka Dada bibi Mimi Mkuu wale Wa kaz/shule kwa sababu amekutumiq umsaidie kusambaza usisahau kwenye u tube
 
Angempotezea tu, kwa sababu ni mwanake mwenyewe ndiyo kajidhalilisha.
 
Back
Top Bottom