chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,364
- 27,755
Hii imemtokea jamaa wangu wa karibu, walikuwa katika mahisiano takribani miaka miwili. Baadae ilikuja kugundulika mwanamke ni mchepukaji, anagawa penzi kwa vidume wengine. Muda siyo mrefu jamaa akaamua kumuacha msichana.
Kitendo cha huyu msichana wake kuachwa na mshkaji kilimuuma sana na baada ya wiki moja msichana akaamua kutengeneza video akiwa na mchepuko wake kisha akamtumia mshkaji wangu hiyo Clip.
Jamaa hili jambo lilimuumiza sana na ile clip alinionyesha namna msichana wake alivyokuwa anafanya mapenzi huku akiamriwa na huyo mchepuko wake aropoke maneno ya kumtusi jamaa wangu wakati wanafanya mapenzi.
Jamaa aliniambia nimshauri nini cha kumfanyia huyo msichana wake nikamwambia hiyo clip ingekuwa vyema ukamuonyeshe baba yake mzazi maana mlishatambulishana kwa wazazi wake na wanayo taarifa kuwa mna mipango ya kufunga ndoa.
Jamaa aliniambia hakuwa na sababu ya kuchoma mafuta mpaka kwa wazazi wake ilhali hategemei kurudiana na huyo msichana wake, kimasihara jamaa aliituma Whatsapp kwa baba mzazi wa msichana bila kujua. Mpaka sasa sijajua kilichoendelea huko.
Wanawake kuweni makini siyo kila mwanaume utaweza kumdhalilisha akakuvumilia.