Itachukua muda mrefu sana Mtanzania kuwa katika utimamu.ZILIPENDWA HUYU. HATAWASAHAU MOSHI MJINI 2015 WALIVYOKULA HELA ZAKE NA UBUNGE ASIPATE.
MWIZI WA KIBORILONI ALIIBIWA MCHANA KWEUPE NA WAPIGA KURA. KULA KWA DAVIE MOSHA ILA KURA KWA CHADEMA.
Jamaa kumbe analea jamii kubwa sanaInasikitisha kwa wanaojiita waislam wanashindwa kufuata kanuni hasa ya kufuturisha, ambayo ni kumlisha yule asiejiweza/mwenye uhitaji. Unakuta wasanii wanasema wanafuturisha lakini wanajaa mashoga na wakata viuno ilhali kuna watoto yatima wengi wangeridhika na robo ya chakula wanacholishana wao kwa wao wenye uwezo.
Mungu amzidishie Bw. Mosha kwa alichofanya.
Atarudi kugombea tena ubunge kufidia machozi ya ile pesa ililiwa Moshi mjini 2015. Kibaha Sylvester Koka jiandae.Teh teh uzi natabiri mnyukano kuanza
Ova
Mrangi hongera Sana kwa Mana unaijua nchi hii nje ndani .Huwa napenda Sana michango yako hapa jukwaani.Aise
Ova
Atarudi kugombea tena ubunge kufidia machozi ya ile pesa ililiwa Moshi mjini 2015. Kibaha Sylvester Koka jiandae.
Yanga tunamsubiri Manji mkuu. Muda si mrefu anatua bongo.
Ulifia wapi wewe mccm? Pole kwa kuondokewa na kipenzi.chako
Hata Bashiru alisema KM CCM ndiyo cheo chake kikubwa na cha mwisho. Hahahaha. Ulimi wa mwanasiasa uogope kama black mamba.Ashakataa hataki tena siasa, aliyasema hayo akiwa Rose Garden
Hahaha shkranMrangi hongera Sana kwa Mana unaijua nchi hii nje ndani .Huwa napenda Sana michango yako hapa jukwaani.
Wamegeuza kuwa fashion. Mwenyezi Mungu atawalipia kulingana na nia zao.Inasikitisha kwa wanaojiita waislam wanashindwa kufuata kanuni hasa ya kufuturisha, ambayo ni kumlisha yule asiejiweza/mwenye uhitaji.
Unakuta wasanii wanasema wanafuturisha lakini wanajaa mashoga na wakata viuno ilhali kuna watoto yatima wengi wangeridhika na robo ya chakula wanacholishana wao kwa wao wenye uwezo.
Mungu amzidishie Bw. Mosha kwa alichofanya.