Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Ni aibu kwa kweli tuna onekana wajinga kwa sababu ya mijitu isiyo jitambua...dj choka ana mambo ya kitoto sana nakumbuka alizinguana na "zizzou" kitambo kidogo daah maneno aliyo kua anaongea choka ku mdis zizou nika mtoa akili kabisa mpka leo namuona kubwa jinga.
Yaani tunaonekana wapumbavu... kutukana kiswahili utadhani anaelewa... sijui *** your mother na mama ake keshafariki....
Huyo Choka kumbe ndio tabia yake