Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
- Thread starter
- #101
yani haya mashabiki ya diamond ovyooo kweli hayawezi kutoa hoja bila matusi...ila sishangai kwani ndio watandale walivyo. Mtuwache tuvote tukipendacho
Naona mnaendelea kuomba poo,
Nashukuru binafsi sio sehemu ya ujinga na hata wewe deep inside unafahamu si kwamba una mapenzi na Davido bali una chuki na Mtanzania mwenzako na hivyo kuona ni heri ashinde Mnigeria kuliko Mtanzania unayemchukia tena bila sababu. Yaani badala ya kuhangaikia Kiba afanye vizuri mnahangaikia Diamond afanye vibaya ili awe kama Kiba. Thanks God kwa kunipa uwezo wa kujitambua.Davido love Tanzanians, just because Tanzania is a part and parcel of Africa, simply Davido is a real patriotic man.
Nimesoma hii post Instagram aibu nimeona mimiZaid ya ajabu" ila ni elimu tu ndio solution ujinga bado unatawala sana. Sawa kila mtu anachoice yakuvote bt ukiangalia wanavote kwa davido cz labda Wema aliachwa na mondi au Mondi kuwa juu ya kiba hvo tu. Sasa kama c chuki ni nn
Nimeona mamy ila avumilie tuu maana davido ndo habari ya mjini
My dear ni mchango kwa familia yake sio kwangu. Kama kufa alikufa nyerere ambaye aliasisi taifa na bado tunaishi itakuwa diamond mchafuzi?
Kamuacha wema na pia kamchukua mganda badala ya mtz hivo roho za wanawake wa kitz zinauma....
nanukuu kuna dada mmoja insta anaitwa siahkhamis kaandika "kwanini atuache sisi watanzania akachukue mwanamke mganda"
ushauri kwa kwa davido akija kupiga mti mmoja wapo huku tz(mheshimiwa wema) atapendwa zaidi ya hapa
Yani mpaka majiran zetu wanatuona wajinga na hizi team za kijingajinga!!We ka una vote kwa Davido vote lakin sio kusambaza kampen kushawishi na wengine wampigie!!Na kama sio Diamond huyo Davido bongo asingejulikana kiivyo!!Watu tuna akaunti 4 tunavote kila siku sasa tutaona kati ya hizo category lazima mbili au ka c zote Tanzania washinde!!Kwahiyo mkenye ndiyo kipimo chetu watz? Who is Kenyans by the way?
Vote for Davido.
hongera basi!ndo maana yake
atapani saaaaana analazimisha niwe team ropo....big nooooooooooooo. haha eti nauza km ni hivyo basi huwa nauza na mama ake ndo maana anatujua heheheheeeeeeeee
Hawanisumbui ndugu yangu, mie nimeshawadharau zamani sana manake nafahamu kinachowasumbua ni kutojitambua! Na wasivyoona aibu wanapofanya mambo kwa majigambo as if wanafanya jambo la maana kumbe wanachofanya mbele ya wenye akili zao ni ujinga uliovuka mipaka ya ujinga.
Usichoke na wewe jifanye chizi tu ndio nchi ilipofikia hapa.
mie huwa napitaga hapa kusoma tu lakini nilichogundua, wengi wao ukiwasoma kati kati ya mstari unaweza kung'amua hata mapungufu ya ufahamu wao.halaf ukiangalia karibia wote wanao shadadia kumpigia kura davido wana shida fulani kisaikolojia...
Mamy achana nao hawa saivi washakata tamaa acha watape tape kama kuku anayechinjwa sisi tunavote for davido
halaf ukiangalia karibia wote wanao shadadia kumpigia kura davido wana shida fulani kisaikolojia...
Nyerere sio muasisi wa taifa ...
Unawazimu ww......ndo unavyojidanganya