David Mattaka, David Jairo, David Ballali...kulikoni DAVIDs!!!!!!!

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Hawa jamaa wenye haya majina wana ajenda ya siri huko serikalini!!!! kwa nini wametawala sana kwenye skendo!!!
 
Daud nadhani ndiyo David kama sijakosea. Daudi alimpiga Goliati, lakini nguvu ile iliyopo kwenye majina ya mwanzilishi wao kwa wakati na zama hizi wanazitumia kwa ufisadi.
Kwanza nasikia huyu bwana Mataka ni maarufu kwa kupasua masaburi ya watu haijalishi wa kiume au wa kike!!!!!!
 
Ndege wanaofanana huruka pamoja,JK siyo safi kwa kiwango hicho but ni HYPOCRITE wa kiwango cha juu sana tu!Hapo anajichekesha kwa wafadhili
 
Hawa jamaa wenye haya majina wana ajenda ya siri huko serikalini!!!! kwa nini wametawala sana kwenye skendo!!!

Umemsahau David Mwakyusa na ile skendo ya kum... Nyerere na kuzawadiwa uwaziri wa afya.
 
Wote Matata tu hata kina David Cameroon, David Letterman, David Beckham, David Vitter.....

...........David Livingstone....... David Buchanan...na pia Mfalme Daudi, licha ya kupata umaarufu wa kumwua Goliath, aliwaka tamaa na kulala na mke wa Uriah ambaye ndiye mama yake Mfalme Suleiman....kwa ufupi: David = Daudi = temptations = kuwaka tamaa!
 
Sio kweli kwamba jina hili lina matatizo, ni jina maarufu tu na ndio maana mnaowataja ni watu maarufu na siku zote umaarufu una gharama zake, mbona wapo wengi ambao hawana hizo sifa mnazoziorodhesha hapo?
 
Back
Top Bottom