David Mataka kizimbani

ccm mtavuna mlichopanda. Huyu mtu amefilisi makampuni halafu mkuu wa kaya anamteua kuongoza ATC huu si upuuzi wa kupita kipimo. Tunafahamu hii kesi haitaenda popote lakini wale waipendao ccm haya ndio madudu mnayoyapenda. Hii nchi ina vituko!!!!
 
aliyekua md wa atcl david mataka afikishwa mahakamani na wenzake 2 kwa ufisadi atcl.aachiliwa kwa dhamana
 
Basi basi inatosha..
Shusha munkari..
Bugia maji kidogo.... haya malizia hasira.
 
siku moja yule kilaza kibonde alimsifia sana mattaka kwamba amefanya kazi na mamake na amefanya mambo makubwa npf na atcl sijui ataweka wap uso wake mzee wa kujipendekeza
amuulize yaliyompata defao kwa david mataka, alishindwa hata kurejea kwao kwa wakati, (the david cameron!!)
 
amuulize yaliyompata defao kwa david mataka, alishindwa hata kurejea kwao kwa wakati, (the david cameron!!)
....Kibonde aibuuuuuuuuuuu, shame on you kwa kupapatikia watu!!!!! shida ya kuajiri waandishi vilaza "Clouds redio ya wafu"
 
ccm mtavuna mlichopanda. Huyu mtu amefilisi makampuni halafu mkuu wa kaya anamteua kuongoza ATC huu si upuuzi wa kupita kipimo. Tunafahamu hii kesi haitaenda popote lakini wale waipendao ccm haya ndio madudu mnayoyapenda. Hii nchi ina vituko!!!!

kwa uhakika ni raisi anavuna alichopanda. huyu david mataka amekuwa akituhumiwa kote alikotoka na hata aliwai kushushwa huko PPF , lakini mkuu wa nchi huyu mpya akaona atakuwa hajakamilisha urafiki wake na mataka mpaka amrudishe tena kwenye system. alimpa ATCL, akamtuma kufufua bima, na leo anaonekana na mabaki ya "marehemu ATCL".

sasa kwa mtiririko huu wa uteuzi wa watu ambao tayari wana walakini ktk rekodi zao za utendaji, utazuia wananchi kumsema vibaya mkuu wao wa nchi? tuna watanzania wangapi wanauwezo wa kuongoza mashirika yetu wapo tu wanasoma magazeti maofisini, wakati hawa wezi ndo wanaendelea kuteuliwa?.
ni vema sasa tukaja na kauli mbiu mpya kuwa "Kinga thabiti kwa wahujumu uchumi wote"
 
Huyo Mataka kila shirika alilokaa ameua nadhani sasa anaelekea kuua his own family

Mnamsingizia dobi tu kumbe kaniki ndio rangi yake. Kila shirika alilokaa aliliua una facts na hii hoja? PPF ipo! Hivi Matakka ndio aliliuza shirika kwa Makaburu? Hivi manakumbuka wakati analichukua shirika lilikuwa katika hali gani?
 
Hii serikali mara nyingi imekuwa ikitoa false hopes, so hakutakuwa na shida bila shida!
 
Hivi huo urafiki unaosemwa wa JK na Mattaka upo/ulikuwa kwenye nini? Naona anatajwa Defao pia.....kuna nini hapa kinejificha?....nakumbuka na sakata la ze utamu pia! Aghrrr nchi hiii....senema tupu!
 
wana jf ongeeni vitu vya kueleweka.ushahidi wa mambo mengine hamna.ebu tujenge taifa letu sio kwa kusikia bali ushahidi.msitafute mabaya tu.nayo mazuri myaone.
 
Mnamsingizia dobi tu kumbe kaniki ndio rangi yake. Kila shirika alilokaa aliliua una facts na hii hoja? PPF ipo! Hivi Matakka ndio aliliuza shirika kwa Makaburu? Hivi manakumbuka wakati analichukua shirika lilikuwa katika hali gani?
acha kutetea usichikijua PPF alitoka kwa aibu kubwa lakini bado swahiba wake akambeba ma uchafu ule ule, hata leo anamnukia mikononi
 
huyu ndo walewale tu,ni kero mno,nadhani jamaa aliwazima mgao wameamua kulianzisha
 
Mnamsingizia dobi tu kumbe kaniki ndio rangi yake. Kila shirika alilokaa aliliua una facts na hii hoja? PPF ipo! Hivi Matakka ndio aliliuza shirika kwa Makaburu? Hivi manakumbuka wakati analichukua shirika lilikuwa katika hali gani?

Mataka anayo makosa yake lakini siye aliyeliua ili shirika,yeye alishirika matanga. Walioua shirika wako pembeni wanachekelea jinsi gani Watanzania tusivyoweza kutunza kumbukumbu. Kama tungekua wanyama basi sisi ni nyumbu.
 
hii thread inanichanganya, kwani kuna uhusiano gani kati ya matak, masaburi, kameruni, atcl, na defao?:lol:

mataka ni mhusika mkuu wa hii tread ,masaburi humu ni makal..., na cameroun alitaka kuhalalisha ushoga, na defao alipitiwa na huyu mataka na atcl shirika alilofilisi kwa kuwazia masaburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…