David Luiz ana thamani ya 50 millioni

Vitu vingine vinakera, huwez kumshusha thaman David luiz kwa game moja tena MTU majeruhi, vizuri vingap kafanya, hata kama haumwi lakn nae no binadam hawez kuwa sawa daima.. Mkuu tengua kauli
 
Kuumia kwa Tiago Silva kumesababisha hayo yote wala suarez hasinge funga yale magoli mawili..Tiago Silva akiwepo ana muelekeza Luiz...na ni wazi Luiz alisababisha magoli yale yote.

kama utamuweka luiz kucheza na beki yoyote ambaye (anamuweza) hapa namaanisha anauwezo wa kumpanga na kumkemea basi tegemea akicheza na washambuliaji wajanja kidogo mtachezea kichapo mpaka ukome.....
kwasababu luiz ni mtu wakujisahau kuka beki na huwa anapanda sana mbele so akienda huko beki uliobaki lazima akuachie majanga..!?

TUANGALIE MECHI YA BRAZIL VS GERMANY:
kwenye mechi hile luiz alicheza na dante,kutokana na dante kushindwa kumenage luiz kulisababisha brazil kufungwa magori matano kati ya saba luiz akiwa hayupo kwenye nafasi yake.
lakini kama luiz atacheza chini ya uangalizi wa THIAGO SILVA basi ujue siku hiyo patachimbika hapo,so kwa mimi thiago silva ni beki ambaye anauwezo wa kumuongoza luiz kusimama kwenye nafasi yake kwa muda wote uwanjani mpaka mpira kwisha.
mwisho wa siku leo UEFA kuna mechi natamani niione kuna mtu nataka tusaidiane kumuangali
DYNAMO KYIV vs FIORENTINA kuna mchezaji anaitwa yarmalenko toka kyiv huyu ni hatari sana
 


Mkuu ni kweli lkn bado tulikua tunahitaji huduma Yake pia ingawa mpunga pia ulikua ni muhimu?
 
Last edited by a moderator:
.

wasiwasi wangu ulianza lini kufuatilia mpira, jambo la kwanza, afu la pili unamchukuliaje suarez, la tatu unajua dribleling za waamerka ya kusin au unsikia tu juu ya uwezo wao, we bado mchanga sana katika fooball, ngoja nkufahamishe beki anapimwa kwa idadi ya tackling na kuzuia, na si kuaziliwa ukitaka hivyo basi hamna beki mzuri dunian, unasahau kwamba mafowadi wote na maatacking mid fielder yaani kina messi, neymar, ronaldo, eden hazard, suarez, aguero, silva, roben, tevez n.k wote wanjifunza usiku na mchana jinsi ya kuwanyanyasa mabeki, hilo ungelijua usingezungumza hayo hapo juu.
montelo
Mwisho nikutajie mabeki mahili duniani waliowahi kudhalilishwa vibaya uwanjani zaiod ya mara 10 toka niwafaham
fernando hiero, ivan campo, michael salgado, roberto carlos, ramos, haguera, MARCELO cannavaro hasa akiwa madrid,(real madrid)
palister, rio ferdinand, david may, vidic, evra,denis irwin (manchester utd)
puyo, pique, alves, rezigger, de bour, van bronquost (barca)
cordoba, taribo west, , marco matelazi (inter)
morieo, zambrotta, montelo, chielin (juv)
alesandro nester, paul madin, ibrahim ba, cafu (ac milan)
fernando cauto, (club lazio 1999-2003), abel xavel ( wote ureno)
ton adams, martin kewn, sol camble, winter bunt, dickson, ashel cole (the best deffenders for asernal that never replaced until now)
samwel kuffor, lucio, lother matheus, bixente rizarazu, sagnol (bayern munich)
celestine babayaro, lesux, frank lebouf, mark desaily, john terry, cahil, david luis, alex, ivannovic (chelsea)
vicent company, zabaleta, demichellis (man city) tena huyo kompany anadaiwa matobo kibao na lionel messi, haya ya juzi hata wewe tayari unaangalia mpira. list ni ndefu.
Kati ya hao, WALIOBORA KAISA NDIO WALIOWAHI ADHIRIWA KWA KUDHALILISHWA KABISA UWANJANI, nao ni kama ifuatavyo
  • jap stam alidhalilishawa vibaya sana na fernando redondo semi final r.madrid na man utd 2000, alipigwa chenga asijue ageukie wapi na mpira umekwenda wapi, review in football clips
  • george hagi mromania huyu akiwa club ya galatasaray alikuwa kiboko ya roberto carlos, hata del bosco akwa anampumzisha, timu yangu mimi ni madrid lakin, nilikuwa sina raha jamaa akicheza, kawahi kudalilishwa akataka pigana na akala nyekundu, yaani kwa utaalam wa chenga si ukorofi
  • huyo huyo hagi alikuwa kiboka ya paul maldin
  • tony adams vibaya mno na andy cole na giggs
  • cannavaro ndo usiseme,
  • terry hata kuna kipind mashabiki uchwara walidai atoke chelsea hafai tena
MWISHO, KWA SASA NENDA ATANDAONI UKATAFUTE THE BEST DEFENE AND TACKILNG WITH TREMENDOUS TECHNIQUES, MKUU, DAVID LOUIZ NDIYE MKALI NA MWENZIE.
NA KATI YA WANAODHALILISHWA HOVYO KWA SASA INGAWA NI WAZURI SANA, NI MARCELO, KOMPANY,DANTE NA RAMOS.
Hivi hujawahi kujiuliza kwa nini tim kubwa haziwaachi hawa watu.

ingawa mpira ni mchezo ila una sayansi nhdani yake, si klia mwenye akili nyepesi aweza kujadli.
 
Mkuu FATHER OF REALITY haya mkuu wewe uliyeanza kuangalia mpira siku nyingi ebu pitia majarida ya ulaya ubwabwaje lakini mwisho wa siku David Luiz hana thamani ya 50 million,si beki mzuri,chelsea walifanya biashara nzuri full stop.

Paris Saint-Germain 1-3 Barcelona: Suarez at the double and Neymar on target as supreme Spaniards ease to victory... but Laurent Blanc's side given glimmer of hope with late goal | Daily Mail Online




 
Last edited by a moderator:
mkuu nafrahi kwamba hujajibu hoja ila umeamua kukomaa, kumbuka katrika soka mtu yeyote yupo huru kumkubali au kumkataa mchezaji ama kocha yeyote, lakini wakati anamponda mtu huyo asijifanye anachambua kitaalamu au anafanya upembuzi yakinifu huku hana data za kutosha.
afu mkuu, nimesoma habari yote na mapicha yote ya linki uliyoniwekea kuhusu wasemavyo ulaya, sijajua umefurahishwa na sentensi za kiingereza au maana ya yaliyoandikwa, soma tena ndugu, hamna sehemu wamemponda luiz kwamba sasa ameshuka, kikubwa wamesema
  • katika mchezo luiz alipitwa kirahis na suarez na alionekana kujongea kama kikongwe cha miaka 80 hv
  • wakasema, hata hivyo luiz aliingia pasipo kuwa na uwezo wa kumudu mchezo ingawa alikuwa tayari kutii wito wa kuingia
  • na kuhusu hao wa ulaya wasemavyo, ni kwamba luiz anmajeruhi ya kutocheza mechi zipatazo nane ikiwemo na ya barca. SOMA HEADING HII HAPA CHINI,
[h=1]PSG dealt major blow as scans confirm defender David Luiz will miss both legs of Champions League clash with Barcelona[/h]
  • Brazilian defender David Luiz pulled up during win against Marseille
  • Former Chelsea man was substituted before half-time following injury
  • Scans have since revealed Luiz could miss up to eight PSG matches
  • Those games include the Champions League clash against Barcelona


Read more: PSG dealt major blow as scans confirm defender David Luiz will miss both legs of Champions League clash with Barcelona | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook

SASA MKUU, KOCHA ANAWEZA LIA LIA KWA AJIRI YA MCHEZAJI RONYARONYA?

je ni game ngapi luiz amekuwa nyota ndani ya psg, brazil na hata chelsea, dont judge a person in one up to five game in hundreds of games which he performs well.

LUIZ YUPO VIZURI, SEMA KAMA UNAPENDA CHELSEA AU MOURINHO SASA UNAONA ALIVYOCHEMKA. HE IS EXCELLENT DEFENDER NOT BECAUSE I LIKE HIM, NO BECAUSE HE KNOWS HOW TO DEFEND AND ATTACK.
 
Mkuu ni kweli lkn bado tulikua tunahitaji huduma Yake pia ingawa mpunga pia ulikua ni muhimu?

Huduma ya kufungisha magoli? Huyo na Zouma nani bora?
 
Kavalishwa chupi mata mbili! Pia ni mmoja wa mabeki walioiuza brazil kombe la dunia.
 

Mkuu, nimekusubiri uniletee uchambuzi wako wa mpira juu ya perfomance ya david luiz ingawa alikuwa bado na majeruhi, mechi ya pili na barcelona, nikaona kimya, hivi ni mdau wa futball au sio hobi yako, maana kumbukumbu za ile mechi luiz ndiye aliyekuwa kisiki bila ya hivyo wangepigwa hata 7 hao psg. ok, ingia mtandaoni, tafuta maoni ya jose mourinho juu ya david luiz maana wengi humsingizia huyu mzee kwamba hakuridhishwa na kiwango chake. Za asubuhi mkuu, nimekukumbusha ili tuwe wadau wa soka wenye uchambuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…