Kumbuka alikutana na mshambuliaji mwenye thamani ya £75Ml.Heshima wanajamvi na wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu.
Jana nilikuwa natazama mechi baina ya Barcelona na PSG kuna jambo moja lilinishangaza sana ni thamani ya David Luiz na ubora wake haviendani kabisa.Mchezaji baki mwenye thamani ya pound 50 million sitarajii afanye makosa ya kipuuzi kiasi kile.Jana Suarez kamgeuza kama chapati kasababisha magoli mawili ya ubwerere.
Ni wazi Chelsea walifanya biashara nzuri sana David Luiz hana thamani ya 50 million sana sana bei yake ilitakiwa isizidi 6 million.
Nawasilisha kwa mjadala wenye afya.
suarez ana thamani ya sh ngapi?Heshima wanajamvi na wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu.
Jana nilikuwa natazama mechi baina ya Barcelona na PSG kuna jambo moja lilinishangaza sana ni thamani ya David Luiz na ubora wake haviendani kabisa.Mchezaji baki mwenye thamani ya pound 50 million sitarajii afanye makosa ya kipuuzi kiasi kile.Jana Suarez kamgeuza kama chapati kasababisha magoli mawili ya ubwerere.
Ni wazi Chelsea walifanya biashara nzuri sana David Luiz hana thamani ya 50 million sana sana bei yake ilitakiwa isizidi 6 million.
Nawasilisha kwa mjadala wenye afya.
Sidhani kama luiz ni mbaya hvyo, kila beki anazidiwa akili akikutana na mchezaji mjanja zaidi yake.
Wape ukweli mkuu, mbona walimfurahia kwa kuwatwanga Chelsea!!! Luiz ni majeruhi, jana kaingia ilimradi tuu.
Kuumia kwa Tiago Silva kumesababisha hayo yote wala suarez hasinge funga yale magoli mawili..Tiago Silva akiwepo ana muelekeza Luiz...na ni wazi Luiz alisababisha magoli yale yote.Jana hakufanya vizuri ila mechi na Chelsea alifanya vizuri sana. Luiz ni mzuri akicheza kama defensive midfielder.
Heshima wanajamvi na wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu.
Jana nilikuwa natazama mechi baina ya Barcelona na PSG kuna jambo moja lilinishangaza sana ni thamani ya David Luiz na ubora wake haviendani kabisa.Mchezaji baki mwenye thamani ya pound 50 million sitarajii afanye makosa ya kipuuzi kiasi kile.Jana Suarez kamgeuza kama chapati kasababisha magoli mawili ya ubwerere.
Ni wazi Chelsea walifanya biashara nzuri sana David Luiz hana thamani ya 50 million sana sana bei yake ilitakiwa isizidi 6 million.
Nawasilisha kwa mjadala wenye afya.
Wape ukweli mkuu, mbona walimfurahia kwa kuwatwanga Chelsea!!! Luiz ni majeruhi, jana kaingia ilimradi tuu.
Jana hakuwa vizuri kuna mambo ya ajabu anafanyaga ila jana hakufanya hata moja