Ukawa ulimtosa kafulila.mbatia yupo bize kumtetea wenje,kafulila kakosa sapoti toka ngome,kaachwa afe kibudu.uongozi wote haukumjali kabisa.pole kafulila jaribu 2020
Mkuu kwani imeshakuwa official? yametangazwa?
Tatizo la Zitto ni kutawaliwa na umimi na ndio kitu kitakachokuja kumwangamiza muda si mrefu.
Viongozi wa Ukawa kama ni kweli wamemwacha huyu dogo peke yake katika hili basi wamefanya upuuzi mkubwa!
Wakati kafulila anahangaika na hili viongozi wa ukawa na nccr hawana habari naye, sasa nimeamini ukawa ni genge la wahuni.
Kama ww unauhakika kwamba mambo ni shwari kwann hautaki yafunguliwe? na kama umepigwa ni kuvumilia bro.
lowassa kapigwa 70% kwa 26%, what a knock out!!!!
Kwako wewe ndio ukweli unaotaka watu waamini, but deep inside you know the truth