David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

Status
Not open for further replies.
Hayo yote mnayasema mbona hamna references? Mara ooh kafulila alisikika akisema, mara eti kafulila kasema dodoma juzi,...wapi kuna ushahidi kamili wa yeye kuyasema hayo? Kama upo wekeni hapa reference hiyo msitupe habari za stori za mjini hapa. Huku ni kuwafanya watanzania wachukue taarifa zisizo kuwa na mashiko. HEBU ACHENI NUKUU ZISIZO NA USHAHIDI, MNAPOTOSHA UMMA.
 
ni kitu muhimu sana ambacho watu wengi wanajifanya wanakipotezea lkn ukweli utabakia palepale kuwa mfumo usiorasmi wa kupokezana utawala kwa kufuata udini ni kweli upo na ndio utakao tumika 2015.
Kama watu watakataa hili basi tusubiri tuone kwani zamu ijayoooo ni ya wagalatia piga galagaza..
Chama chochote kile kikiweka mgombea muislam kama ulivyomention hapa kuhusu mama rose asha migiro ni muislam hivyobasi akisimama huyo uwezekano wa kupata kiti ni mdogo sana.
Pia usisahau kuwa kuna ule ubara na uzanzibar pia upo na utajitokeza 2015 znz watadai kuwa huu sasa ndio wakati wao nao kutumia nafasi ya muungano ambao pia unautata. Znz watadai kuwa zam yao kutoa rais iliporwa baada ya mzee mkapa kumaliza so this time sidhani kama pataeleweka lazima watataka watoe mtu kutoka kwao ndio awe mtawala mpya wa jamhuri yetu.
Swali najiuliza???
Hivi znz kuna mgalatia yupi anaeweza kukubalika kupewa nafasi hii adimu?
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma.Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"
----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

Sitaki kuamini kabisa kwamba haya maneno yametamkwa na MTUNGA SHERIA WETU (read MBUNGE)! RAIS na MAKAMU wake lazima watoke Kigoma?

Hivi kweli Kafulila hafahamu kabisa katiba ya JMT inasema kwamba kama Rais (mgombea) atakuwa kutoka Tanganyika basi VP (mgombea mwenza) lazima atoke Zanzibar. Kwa katiba hii, Kafulila itawezekana vipi Rais na VP wote watoke Kigoma? I'm speecheless and mouth OPEN.

Halafu hii LAZIMA, LAZIMA inatoka wapi?! Nimewasikia CCM wakijinasibu kwamba USHINDI KWAO NI LAZIMA (hata kama wananchi wasipowapa kura).

Kafulila naye sasa anakuja na hii single, kwamba Rais na VP LAZIMA wote KIGOMA. Hivi Kweli wananchi wa Kigoma tu KURA zao PEKEE zinatosha kumfanya mtu awe Rais wa JMT.

Yaani hawa WAHA (no offence intended) full "kuji-mwambafai". Ndiyo maana huwa wanabisha na mtu akiende kukojoa anamwambia mwenzake HEBU NISHIKIE HAKA KAUBISHI KANGU NIENDE KUKOJOA!
 
Raisi wa Tanzania atatokea Tanzania na wala sio Kigoma labda raisi wa Lekadudigite ndo atatokea Kigoma
 
Huu sasa ni utaahira, kigoma- kigoma kigoma. Acheni utaahira. Leo nimepanda basi mwanza nakuja kahama konda moja ya kigoma eti inanitisha 'we hii kichwa ya kigoma' huu ukigoma ndio nini hivi??
Kwani mikoa ingapi haijawahi kutoa rais?? Kwanza marais hadi sasa toka tupate uhuru ni wanne tu, mikoa iko zaidi ya 25.
Ok basi na sisi singida tunataka tundu lissu awe president 2015. Hoja labda iwe hivi, kanda ya pwani sasa basi, maana imetoa mkapa, kikwete na mwinyi japo yeye ni mzanzibar ambapo huku bara ni nyerere tu toka uhuru.
 
Kafulila,ni lini Mbeya itatoa rais?Sumbawanga je? Kama ni kuonewa mikoa mingi imeonewa sasa sijui tutumie kigezo gani ili kuikomboa mikoa hii iliyoonewa kwa kutokutoa rais wa nchi? Mikoa ambayo haijaonewa ni michache sana, nayo ni hii:-
1.Mkoa wa Mara -ukamtoa Nyerere
2.Mkoa wa Unguja -ukamtoa Mwinyi
3.Mkoa wa Mtwara - ukamtoa Nkapa na
4.Mkoa wa Pwani - ukamtoa Kikwete.
Angalizo: Kafulila,achana na mambo ya ukabila.
 
Hayo ni maneno ya kafulila au ni uamuzi wake lakini sio maamuzi ya watanzania!
Kafulia oo sorry,Kafulila atambue kuwa hatuchangui raisi eti kwa kigezo cha ukanda fulani hatujatoa raisi,kama ni hivyo basi tuanze na Mwanza. Kafula asituletee siasa za Kiburundi hii Tanzania,awamu hii mtaweka pingamizi hadi la wenye mvi wasigombee ukweli EL anawasesemya.
 
Sasa mbona hamueleweki mara maneno yaliongelewa kigoma mara sinza....uupuzi mtupu yaani kuanzia kafulila hadi zito wote ni waroho wa madaraka hawafai kabisa waogopeni kama ukoma
NCCR hili shipa litawasumbueni sana unaona linaleta sera za ukanda wa Burundi hapa Tanzania. Kama Zitto anazosifa,agombee ruksa lakini si kigezo cha ukanda kama ni hivyo basi nasisi kanda ya ziwa Magufuri au Lishibuda yapashe misuri kwani tunawenza kabsa kuweka raisi tukiamua kufuata sera za Kafulila.
 
watu wakigoma wanamatatizo sana.
Refer mwenendo wa Zitto na kafulila.
naongea haya kwa experience nlinayo
 
Last edited by a moderator:
Kama sikosei mwaka jana Zitto alienda Malaysia na kama kawaida media zika-report kuwa alialikwa na Waziri mkuu mstaafu wa Malaysia!!! yaani waziri mkuu wa Malaysia anamualika mbunge mmoja tu toka Tanzania!
Sasa nishaanza kuwa na mashaka na CHADEMA,ndugu nauliza lakini iwe siri huyu waziri wa Ma laya sorry Malysia ni mwanaume au mwanamke,nauliza tu ndg zangu halafu nilale maana alimwalika Zitto peke yake!
 
Naam kweli atatatokea Kigoma maana makafara tunayaona kila shirika la ndege likileta ndege huko lazima zipate ajali.
Hata aje Bashar Al Assad na Ma chemical yake sitoki CCM ng'o mijitu kwa sifa tu ya kuongea uongo bungeni ishajiona inafaa kuwa rais! Mnamzidi nini January Makamba/ Ester Bulaya? Unafunga nanihii......halafu K kwa jirani! Mwakeye/mwindiwe,amaki. Tehe tehe tehe.
 
Zitto hana uwezo wa kuwa rais. Saizi yake ni kuwa mbunge tu. Sababu ni mbishi na mnafiki!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom