David Kafulila: Rais Samia anajenga 'competitive economy'

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
6,087
Reaction score
5,353
KAFULILA: TUKISOMA RIPOTI ZA KIMATAIFA- MOODY'S YATHIBITISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ANAJENGA UCHUMI SHINDANI NA SIASA IMARA UKILINGANISHA NA NCHI ZOTEZILIZO NDANI NA NJE YA AFRICA MASHARIKI.

Mhe Kafulila anasema, Duniani kuna taasisi 72 za kupima afya ya chumi za Mataifa na Makampuni mbalimbali duniani ( Global Credit Rating Agency).

Kati ya taasisi hizo 72, Taasisi ya MOODY'S inaongoza duniani ikiwa inamiliki aslimia 45% ya biashara hii.

Oktoba 7, 2022 kwa mara nyingine, imeipandisha daraja Tanzania kama alivyopost ripoti hiyo,Mchambuzi David Kafulila kwenye ukurasa wake wa tweeter chini hapa.

"Mama ameikusanya nchi pamoja kisiasa."

Kafulila anasema "Mama anajenga serikali sikivu, Mama anajenga uchumi shindani, Mama anafungua nchi... hakika Mama anaupiga Mwingi"..

Kwa yule ambae hawezi kusoma repoti yote aliyoambatisha Kafulila kwenye ukurasa wake,
Anayeweza kusoma attachment tu kwenye tweeter yake uone taasisi yenye heshima duniani kwa sayansi ya kupima afya ya uchumi inasema ,"We argue with facts"

Kwanyongeza tu si kwa nchi za Jumuiya ya EAC pekee lakini pia Rais Samia Suluhu kawazidi wanaume wa Ghana, Namibia, Msumbiji, nk..
 
IMG-20221008-WA0204.jpg

KAFULILA: RIPOTI ZA KIMATAIFA- MOODY'S YATHIBITISHA RAIS SSH ANAJENGA UCHUMI SHINDANI NA SIASA IMARA KULINGANISHA NA NCHI ZOTE EAC NA NJE YA EAC.

Duniani kuna taasisi 72 za kupima afya ya chumi za mataifa na makampuni mbalimbali duniani( Global Credit Rating Agency).

Kati ya taasisi hizo72, Taasisi ya MOODY'S inaongoza duniani ikiwa inamiliki aslimia 45% ya biashara hii. Jana, Oktoba 7, 2022 kwa mara nyingine, imeipandisha daraja TZ kama alivyopost ripoti hiyo,

Mchambuzi David Kafulila kwenye ukurasa wake wa tweeter chini hapa. Mama ameikusanya nchi pamoja kisiasa.

Mama anajenga serikali sikivu, Mama anajenga uchumi shindani, Mama anafungua nchi... hakika Mama anaupiga Mwingi.. ambae hawezi kusoma repoti yote aliyoambatisha Kafulila kwenye ukurasa wake,

All the Kafu
 
KAFULILA: TUKISOMA RIPOTI ZA KIMATAIFA- MOODY'S YATHIBITISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ANAJENGA UCHUMI SHINDANI NA SIASA IMARA UKILINGANISHA NA NCHI ZOTEZILIZO NDANI NA NJE YA AFRICA MASHARIKI.

Mhe Kafulila anasema, Duniani kuna taasisi 72 za kupima afya ya chumi za Mataifa na Makampuni mbalimbali duniani ( Global Credit Rating Agency).

Kati ya taasisi hizo 72, Taasisi ya MOODY'S inaongoza duniani ikiwa inamiliki aslimia 45% ya biashara hii.

Oktoba 7, 2022 kwa mara nyingine, imeipandisha daraja Tanzania kama alivyopost ripoti hiyo,Mchambuzi David Kafulila kwenye ukurasa wake wa tweeter chini hapa.

"Mama ameikusanya nchi pamoja kisiasa."

Kafulila anasema "Mama anajenga serikali sikivu, Mama anajenga uchumi shindani, Mama anafungua nchi... hakika Mama anaupiga Mwingi"..

Kwa yule ambae hawezi kusoma repoti yote aliyoambatisha Kafulila kwenye ukurasa wake,
Anayeweza kusoma attachment tu kwenye tweeter yake uone taasisi yenye heshima duniani kwa sayansi ya kupima afya ya uchumi inasema ,"We argue with facts"

Samia chuma Kweli Kweli, wanaume wote katupa kule
 
Kafulila ushatimuliwa , hurudishwi tena hata ukijipendekeza vipi , Usaliti ni laana , Imeisha hiyo !!
 
KAFULILA: TUKISOMA RIPOTI ZA KIMATAIFA- MOODY'S YATHIBITISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ANAJENGA UCHUMI SHINDANI NA SIASA IMARA UKILINGANISHA NA NCHI ZOTEZILIZO NDANI NA NJE YA AFRICA MASHARIKI.

Mhe Kafulila anasema, Duniani kuna taasisi 72 za kupima afya ya chumi za Mataifa na Makampuni mbalimbali duniani ( Global Credit Rating Agency).

Kati ya taasisi hizo 72, Taasisi ya MOODY'S inaongoza duniani ikiwa inamiliki aslimia 45% ya biashara hii.

Oktoba 7, 2022 kwa mara nyingine, imeipandisha daraja Tanzania kama alivyopost ripoti hiyo,Mchambuzi David Kafulila kwenye ukurasa wake wa tweeter chini hapa.

"Mama ameikusanya nchi pamoja kisiasa."

Kafulila anasema "Mama anajenga serikali sikivu, Mama anajenga uchumi shindani, Mama anafungua nchi... hakika Mama anaupiga Mwingi"..

Kwa yule ambae hawezi kusoma repoti yote aliyoambatisha Kafulila kwenye ukurasa wake,
Anayeweza kusoma attachment tu kwenye tweeter yake uone taasisi yenye heshima duniani kwa sayansi ya kupima afya ya uchumi inasema ,"We argue with facts"

Kwanyongeza tu si kwa nchi za Jumuiya ya EAC pekee lakini pia Rais Samia Suluhu kawazidi wanaume wa Ghana, Namibia, Msumbiji, nk..

Huyu bwana asipopata uteuzi anaweza kuwehuka
 
Kafulila ameanza hii tabia ya kumsifu Rais kila wakati. Hii tabia itamletea maadui wengi.
 
Hiyo ni kweli kabisa,swali najiuliza ninani aliyevuruga uchumi wa nchi,nani aliyevuruga siasa za Tanzania nk.
 
Back
Top Bottom