David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

Status
Not open for further replies.
Sasa ni lazima CDM mcheze karata vizuri or else mtakuwa nikupiga kelele tu. vijana tunahitaji kulikomboa taifa hili. kama tunataka twende ikulu "we must not gamble".

Tumuweke kijana, msomi na mwenye vision nzuri na nchi hii. some one who is likable. Nafikiri kijana Zitto akipewa nafasi kurusha bendera yetu tutakwenda ikulu.

Sasa hivi tujaribu tu kumuuza kijana huyu tutafute wanachama vijana wote wa nchi hii ambao watatupigia kura na si kulumbana maana muda umekwenda. ni hayo tu.
Mbowe alishajaribu akashindwa, Slaa naye kajaribu kashindwa. Sasa cdm mpeni nafasi Zitto naye ajaribu, huenda atawapa raha wana cdm
 
Lazima Pasco aipitie hii, akisikia hivyo ndo anachanganyikiwa kabisa!
 
Siasa za aina hii tumezoea kuziona na kuzisikia huko Kenya,Zitto na genge lake la wahuni wanatuletea siasa za ukabila.Zitto mwenyewe hata taasisi ya ndoa haijaiweza anataka kuongoza watu milion 42 ?.

Kafulila maneno yake ya hovyo yatoa picha halisi kwanini alitimuliwa CDM na NCCR Mageuzi.Mpumbavu kabisa hakustahili kuwakilisha watanzania wa huko Kigoma mjengoni hana maana kabisa maneno ya akina Raila,Uhuru Kenyatta,Rutto na wakabila wa Kenya anatuletea Tanzania !.

Wanajamvi mtanisamee akili zimeahama sikutegemea vijana wetu watatuangusha kiasi hiki.

Pasuka tu mkuu hawa vijana ni DISGRACE kwetu vijana wenzao wameleta mambo ya aibu ya uchu wa madaraka nani awape wahuni hawa waongoze nchi??
 
Hapa mimi sijaelewa!!!!!! kwa hiyo Kafulila anataka kusema LAZIMA rais atoke kigoma?? Au anamaanisha Mgombea wa CDM katika nafasi ya Urais lazima atokee Kigoma?? Maana huyo m"kigoma" anaweza kuteuliwa na CDM, sisi tukampigia m"songea" au m"Tanga" aliechaguliwa na CHAUMMA.

Kwani kuteuliwa na chama ndo kushinda uchaguzi???

Haya bwana...tulazimisheni.

Hata 2010 miongoni mwa wagombea urais alikuwemo aliyetoka Kigoma. Jamani, mwacheni tu yeyote agombee, maana ni haki ya kila mtanzania kama anakidhi vigezo. Uamuzi wa kumchagua au kutomchagua ni wa wapigakura.
 
huyu kafulila ajue kwamba wananchi ndio tunaoamua nani awe raisi na wala kikwete,wabunge vijana.malasia au nchi nyiongine yoyote......
 
Sasa ni lazima CDM mcheze karata vizuri or else mtakuwa nikupiga kelele tu. vijana tunahitaji kulikomboa taifa hili. kama tunataka twende ikulu "we must not gamble".

Tumuweke kijana, msomi na mwenye vision nzuri na nchi hii. some one who is likable. Nafikiri kijana Zitto akipewa nafasi kurusha bendera yetu tutakwenda ikulu.

Sasa hivi tujaribu tu kumuuza kijana huyu tutafute wanachama vijana wote wa nchi hii ambao watatupigia kura na si kulumbana maana muda umekwenda. ni hayo tu.
Mbowe alishajaribu akashindwa, Slaa naye kajaribu kashindwa. Sasa cdm mpeni nafasi Zitto naye ajaribu, huenda atawapa raha wana cdm
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"
Wana Kigoma ni akina nani ktk Tanzania; wana Kigoma wana tofauti gani na wana Lindi, Mtwara, Mwanza, Kagera, Katavi n.k. Wana Kigoma wamefanyiwa lipi la tofauti sana au ni kwa nini raisi na makamu wote watoke huko. Hiyo siyo demkrasia kabisa. Wenye hekima na watambue hilo!
 
Sikuwahi kufikiria kiongozi mwenye upeo na dhamana ya ubunge kuongea PUMBA za kiwango hiki. Neno, LAZIMA rais atoke kigoma au awe kijana ni upuuzi usiovumilika. Wachangiaji wasiunge mkono ujinga. Haikubaliki kabisa katika jamii ya kistaraabu inayojenga demokrasia. Mshindwe na mlegee kabisa kabisa
 
Kafulila na Zitto wamefulia. Badala ya kuangalia mstakabali wa taifa wanaleta ubembe wao toka DRC. Kiumbe kama Kafulia ni kwa kutupwa nje ya chama. Ni bahati mbaya kuwa hata NCCR-Mageuzi wamemlazia damu nyemelezi huyu ndumilakuwili.
 
kha ndugu kafulila kweli umefulia.raisi wa tz hapatikani kwa kuangalia umri,jinsia,kabila wala umkoa,shame upon u.
 
Tukianza kubaguana kwa style hii, tutasema sasa na watu wa Mbeya wasigombee Urais kwa sababu 75% ni kutoka Malawi etc etc. Japo simkubali Zitto kwa Urais, lakini hiki kisiwe kigezo bana..
Mkuu,
Mimi Jembe nitaliita Jembe(Spade is a Spade) na si vinginevyo. Kama unaona nabagua Mtu au Jamii then hapo utakuwa unatumia mtazamo wako binafsi.

Nilibahatika kufanya kazi (UN) maeneo ya KIGOMA mara kadhaa. Nikapata kuwaelewa vizuri sana kitabia hawa Jamaa zetu wa KIGOMA. Kuna mtu humu aliandika vizuri kuhusu ubinafsi wa hawa jamaa wa KIGOMA.
Na statement ya Mh. Kafulila anaposema "Safari hii lazima Rais na Makamu LAZIMA WATOKE KIGOMA" imekuwa ni moja ya vigezo vinavyozidi kunipa mawazo na fikra tofauti kuhusu hawa Jamaa zetu.

Mimi simbagui mtu kwa "style" yoyote, Ila I call it as I see it. Nasema ukweli ambao WaTanzania wengi tunaogopa kuongea hadharani.
Pamoja.
 
Huyu Kafulila tatizo lake ni njaa kali isiyo na mfano, njaa mbaya+ujinga ndiyo unaomsumbua. Hawa ni watu ambao ukimuonyesha hela unachukua mke, mtoto, mama mkwe na nyumba unachukua yeye anaenda kulala nyumba ya wageni. Huyu ni muuza nchi, mbunge mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno ya kipumbavu/kipuuzi kama haya.
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

Hongereni sana CHADEMA kumfukuza Kafulila. Kwa kauli hii, leo nimeamini Kafulila ana uhayawani fulani. Tangu nchi hii tupate uhuru tumekuwa na marais 4, na mikoa ya Tanzania ni karibu 30. Kwa hiyo kwa maelezo ya Kafulila mikoa yote imewahi kumtoa Rais isipokuwa Kigoma? Hivi tunafanya urais ni cheo cha kupokezana kikanda, kimkoa, kikabila au kidini? Huyu nadhani amekosa hata akili ya kawaida. Na kama Zitto hawa ndio wenziwe, basi tufute kabisa wazo la Zitto kuwa kiongozi. Kwa fikra duni kama hizi, nadhani Zitto na Kafulila hata nafasi za ubunge hawakustahili. CHADEMA kama inataka iendelee kuwa chama kinachoheshimika ni lazima kifanye maamuzi magumu dhidi ya watu kama Zitto. Hatua ya kwanza mwondoeni katika nafasi zote za uongozi wa chama, hii ni kansa. Tukiogopa kukata mkono sasa itafika wakati ambapo kansa itafika kifuani, hatutakuwa na nafasi ya kukata tena.
 
Sasa ni lazima CDM mcheze karata vizuri or else mtakuwa nikupiga kelele tu. vijana tunahitaji kulikomboa taifa hili. kama tunataka twende ikulu "we must not gamble".

Tumuweke kijana, msomi na mwenye vision nzuri na nchi hii. some one who is likable. Nafikiri kijana Zitto akipewa nafasi kurusha bendera yetu tutakwenda ikulu.

Sasa hivi tujaribu tu kumuuza kijana huyu tutafute wanachama vijana wote wa nchi hii ambao watatupigia kura na si kulumbana maana muda umekwenda. ni hayo tu.

Kama ni Zitto, afadhali tumchague Wasira kuwa Rais. Mtu mwongo na mnafiki hatufai kwa lolote.
 
Kafulila hivi nchi za nje zina maslahi gani na Tanzania? and kwa nini hizo nchi zinataka rais kijana tena atoke Kigoma? sitaki kukubali kuwa nyie ni wakongo - ila kwa deal hili naelekea kukubali, hivi ni kweli habari ya kuwa na Tutsi empire katika great lakes ni ya ukweli, that mnataka kutimiza unabii Tutsi domination in great lakes? - Mseveni, Kagame, Nkurunzinza, DRC - Kagame bado anasupport the eastern rebels, sasa nyie naona mnataka kutumika kwa mgongo wa Malysia, South Africa, etc..hampati kitu tulieni, bora kuwa na viongozi wazee than kuwa na viongozi vijana wanaotumika
 
ndiyo maana zito analazimisha umri wa kugombea uraisi ushushwe kutoka miaka 42 hadi 40 ili 2015 atimize kigezo.what a shame!

Umri hata kama utashushwa kuwa miaka 18, bado Zitto hawezi kuwa Rais ila anaweza kugombea kupitia vyama kama NCCR au TLP lakini siyo CHADEMA.
 
Sawa kabisa bdo, hawa ni vijana wadogo wanaotumika kotekote. HAWAFAI WOTE WAWILI.
 
Hahahha! Hapo EL ndo mnapomchanganya kabisa, anyway naona kampeni zimeanza kupamba moto, bunge hili limekosa mwelekeo kila siku vituko haviishi na ndivyo vinasaidia kudeviate maada. Hata Marandu naye keshasema US wanataka awe rais, naona tujiandae kwa nchi kuparanganyika.

Wakurupukaji msojua jambo lakini hamwachwi nyuma kusema...MARANDU YUPI KASEMA US WANATAKA AWE RAIS?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom