David Kafulila,na Serikali Tatu

mbona baba yako kikwete kila leo yuko kwa hao wakoloni kuombeleza! kwanini hujampa akili za kujikomboa?
 
mbona baba yako kikwete kila leo yuko kwa hao wakoloni kuombeleza! kwanini hujampa akili za kujikomboa?

Swali zuri sana, haya ngoja tupate majibu kama si matusi kutoka kwa msemaji husika
 
Kafulila umenikuna kwa tanganyika yangu... na pia kuwakumbusha maprof kuwa sample maana yake ni nin yaan hawa wanatuona sis washenz kweli....tanganyika oyeeeee
 
Kwa kweli, hata mimi nimemwelewa vizuri. Amejieleza kiufasaha sana. Natumaini Kamati nyingine zijitahidi kuwapa watu wa jinsi hii nafasi kuwatetea wachache. Hapa mwananchi wa kawaida ameelewa na hata wzle wenye mioyo migumu kushtuka kiasi fulani.
CCM wanapepo hawaelewi chochote mkuu. Hata kama wakielewa wakitoka nche wakirudi utadhani ni wengine wamepaka maker up kumbe ni wao wamebadilishwa akili na mabwana zao. huwezi jua hata tofauti ya mwanamke na mwanaume maana hawana misimamo hata chembe. kule watu ni Deo, Kangi, Easter na Lembeli tu.
 
Hotuba ya JK ya zaidi ya masaa mawili, imejibiwa na Kafulila kwa nusu saa.
 
Mkuu naomba nikutukane kidogo, wewe ni tahahira, Hujui uhujui chochote zaidi ya Upinzani na CCM "Blaliful"
CCM, CHADEMA ,CUF ,NCCR n.k hivi ni vyama tu ,leo vinaweza kuwepo na kesho visiwepo, Lakini Tanzania yetu itakuwepo milele kwa hiyo kwenye mambo ya msingi yanayoihusu nchi hatuangalia vyama tunaangalia hoja zenye nguvu, na tunatakiwa kuungana kwa maslahi ya nchi yetu, Acha mambo ya vyama vyama kwenye maslahi ya nchi .
 
mkuu Feedback chukua "like" ngoja nimuache huyu Happy feet coz soon anaweza kuji-mkwawa!!
 
Nadhani wabunge wa upinzani hawana budi kuiga hii style ya Kafulila, kupayuka sana hakusaidii, nimependa alivyokuwa ametulia na kujiamini.

sio upinzani tu hata Masisiemuuu eg. Mwigulu
 

Anamsaliti Nyerere na Pengo?
 
big up kafulila, tuwatathimini madokta na maprofesa wetu wanaolazisha hoja zisizo na mashiko kwa njaa zao!
 
Hapa panahitaji mtu mwenye hoja za ukweli. Ukija na zile hoja za ccm na cdm lazima uonekane mpuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…