David Kafulila asamehewa NCCR-mageuzi

David Kafulila asamehewa NCCR-mageuzi

Mkuu unajua wewe ni uko kwenye kitengo cha uenezi cha vijana hebu andika vizuriNiliwaonya MASALIA mapema kuwa huyu jamaa anaanzisha CHAUMMA huku yeye anaomba msamaha kichinichini huko NCCR-Mageuzi.Baada ya kulipua lile dili la CHAUMMA jamaa aliamua kurudi fasta NCCR-Mageuzi.Kuna siku niliwaambia wana-JF hapa CHAUMMA hawatafanikiwa malengo yao hata iweje.Nia zao chafu za kuivuruga CHADEMA zitawamaliza wao.Na baada ya hapo walainza kumalizana kuanzia upande wa Zanzibar na kanda ya ziwaHii case ya kuunda CHAUMMA huku ukiomba msamaha kwenye chama kingine ni unafiki wa vijana wa wanasia Tanzania hii.Anyway,afadhali ameshtuka kwamba yule mzee wa Tunguri na bingwa wa usaliti alitaka kumuharibia maisha.loh!CC: nice2, kixCC:Rais
We Ben mimi si kiongozi wa hicho chama unanifananisha na viongozi, nimesikia newz magazetini nami nawasilisha kama ilivyo.
 
Last edited by a moderator:
mageuzi mwanzo Mwisho karbu tena kambini Kafulila................!!!!!!!!!!!
 
Mkuu unajua wewe ni uko kwenye kitengo cha uenezi cha vijana hebu andika vizuriNiliwaonya MASALIA mapema kuwa huyu jamaa anaanzisha CHAUMMA huku yeye anaomba msamaha kichinichini huko NCCR-Mageuzi.Baada ya kulipua lile dili la CHAUMMA jamaa aliamua kurudi fasta NCCR-Mageuzi.Kuna siku niliwaambia wana-JF hapa CHAUMMA hawatafanikiwa malengo yao hata iweje.Nia zao chafu za kuivuruga CHADEMA zitawamaliza wao.Na baada ya hapo walainza kumalizana kuanzia upande wa Zanzibar na kanda ya ziwaHii case ya kuunda CHAUMMA huku ukiomba msamaha kwenye chama kingine ni unafiki wa vijana wa wanasia Tanzania hii.Anyway,afadhali ameshtuka kwamba yule mzee wa Tunguri na bingwa wa usaliti alitaka kumuharibia maisha.loh!CC: nice2, kixCC:Rais
Mimi sio KISANDU, na mara nyingi sana huwa unanifananisha na huyo dogo, narudia tena mimi siyo.
 
Last edited by a moderator:
Wanaandaa Ndoa Imara ya Mume aliyebobea katika mitala baada ya kusikia kipenga kimepulizwa na Tendwa!

There you are!!!

Na kama ambavyo tumesikia kwamba, upo mkakati wa MAGAMBA kuungana na chama fulani na kubadili jina ili kujipa mvuto kwa waTanganyika. Maana neno CCM limenuka Tanganyika.
 
We Ben mimi si kiongozi wa hicho chama unanifananisha na viongozi, nimesikia newz magazetini nami nawasilisha kama ilivyo.
Ha ha ha ha,Kheh...Kumbe mtoto wa mnyonge= Baba Clara ambaye ni =na.......tena?

Mimi nilimjibu Baba Clara na nimem-quote,iweje ujitete wewe?Ulisahau umeingia kwa ID nyingine mkuu?Duh nimecheka sana,hivi ni vituko

Mimi sio KISANDU, na mara nyingi sana huwa unanifananisha na huyo dogo, narudia tena mimi siyo.
Na wewe sijakutaja kwamba ni kisandu,maana inawezekana akawa ni pacha yako au ndugu yako wa karibu maana hata akiwa CHADEMA uchaguzi wa BAVICHA ulikua ukileta matamko yake hapa JF na kujibu hoja za wachangiaji.Hata allipohamia NCCR-Mageuzi ulihama nae kama inavyoshuhudiwa hata hapa kwenye Thread.Okay,Baba Clara si Kisandu ila kuna mashaka ni pacha wake.Roll it on...
Halafu wewe sijui unatokea wapi thread iletwe na mwingine wewe ujibu usichokijua.
Unamjibu hivyo ili kupotezxa malengo baada ya kujua umejichangnya?

Kwamba mtoto wa mnyonge = (Baba clara=.........!
 
Last edited by a moderator:
Nikile chenye mlengo wa kichaga?

Cha Kikwere. Baba Mwenyekiti- Mkwer'e
Mama M-Nec- Mkwwr'e kwa ndoa
Mtoto M-Nec- Mkwer'e
Mdogo wa Mwenyekiti 1- M-Nec- Mkwer'e
Mdogo wa Mwenyekiti 2-Mnec- Mkwer'e
Mdogo wa mwenyekiti 3- Mkutano mkuu- Mkwer'e
 
CDM wanalo la kujifunza hapo

Walishajifunza ndo maana masalia washakwenda kwa bisi wao mzee wa mahale. Wakujifunza hapa ni mbatiwa maana huyo dogo pamoja na wakina rungwes ni chaumma
 
Ha ha ha ha,Kheh...Kumbe mtoto wa mnyonge= Baba Clara ambaye ni =na.......tena?Mimi nilimjibu Baba Clara na nimem-quote,iweje ujitete wewe?Ulisahau umeingia kwa ID nyingine mkuu?Duh nimecheka sana,hivi ni vitukoNa wewe sijakutaja kwamba ni kisandu,maana inawezekana akawa ni pacha yako au ndugu yako wa karibu maana hata akiwa CHADEMA uchaguzi wa BAVICHA ulikua ukileta matamko yake hapa JF na kujibu hoja za wachangiaji.Hata allipohamia NCCR-Mageuzi ulihama nae kama inavyoshuhudiwa hata hapa kwenye Thread.Okay,Baba Clara si Kisandu ila kuna mashaka ni pacha wake.Roll it on...Unamjibu hivyo ili kupotezxa malengo baada ya kujua umejichangnya?Kwamba mtoto wa mnyonge = (Baba clara=.........!
Acha ujinga ben. Hebu usipotoshe ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom