David Kafulila asamehewa NCCR-mageuzi

David Kafulila asamehewa NCCR-mageuzi

Kafulila ni mzuri sana ktk kujenga hoja ila tatizo ni moja tu kuwa hana msimamo ndio maana akarubuniwa na yule Zitto kukisaliti chama chake, Historia inaonesha kuwa Vijana wote walioweza kurubuniwa na Zitto mwisho wa siku Zitto alibaki salama na wao hawakubaki salama mfano Masalia baada ya kutimuliwa CHADEMA hatukusikia hata Zitto akikohoa bali aliwakandamiza na article yake ya "FUATA MISINGI YA CHAMA NA SIO WATU"

Mwisho naamin Kafulia utakuwa umejifunza sasa tulia ujenge chama ili kuondoa CCM kwa kushirikiana na makamanda wa ukweli CHADEMA KAMA WAKINA machali na mkosamali wanavyofanya kule bungeni.
 
Last edited by a moderator:
acheni dogo asamehewe jamani alikuwa analia sana siku ile aliposimamishwa japo haikuwa na nguvu.
 
Mkuu unajua wewe ni uko kwenye kitengo cha uenezi cha vijana hebu andika vizuri

Niliwaonya MASALIA mapema kuwa huyu jamaa anaanzisha CHAUMMA huku yeye anaomba msamaha kichinichini huko NCCR-Mageuzi.

Baada ya kulipua lile dili la CHAUMMA jamaa aliamua kurudi fasta NCCR-Mageuzi.Kuna siku niliwaambia wana-JF hapa CHAUMMA hawatafanikiwa malengo yao hata iweje.Nia zao chafu za kuivuruga CHADEMA zitawamaliza wao.Na baada ya hapo walainza kumalizana kuanzia upande wa Zanzibar na kanda ya ziwa

Hii case ya kuunda CHAUMMA huku ukiomba msamaha kwenye chama kingine ni unafiki wa vijana wa wanasia Tanzania hii.

Anyway,afadhali ameshtuka kwamba yule mzee wa Tunguri na bingwa wa usaliti alitaka kumuharibia maisha.loh!

CC: nice2, kix

CC:Rais
View attachment 87420
View attachment 87423
 
Cha Kikwere. Baba Mwenyekiti- Mkwer'e
Mama M-Nec- Mkwwr'e kwa ndoa
Mtoto M-Nec- Mkwer'e
Mdogo wa Mwenyekiti 1- M-Nec- Mkwer'e
Mdogo wa Mwenyekiti 2-Mnec- Mkwer'e
Mdogo wa mwenyekiti 3- Mkutano mkuu- Mkwer'e

Kuna yule mtoto kamanda wa chipukizi mbona hujamtaja?
 
Kafulila ni mzuri sana ktk kujenga hoja ila tatizo ni moja tu kuwa hana msimamo ndio maana akarubuniwa na yule Zitto kukisaliti chama chake, Historia inaonesha kuwa Vijana wote walioweza kurubuniwa na Zitto mwisho wa siku Zitto alibaki salama na wao hawakubaki salama mfano Masalia baada ya kutimuliwa CHADEMA hatukusikia hata Zitto akikohoa bali aliwakandamiza na article yake ya "FUATA MISINGI YA CHAMA NA SIO WATU"

Mwisho naamin Kafulia utakuwa umejifunza sasa tulia ujenge chama ili kuondoa CCM kwa kushirikiana na makamanda wa ukweli CHADEMA KAMA WAKINA machali na mkosamali wanavyofanya kule bungeni.

Shardcole.....!
 
Last edited by a moderator:
sasa uweke wazi ukweli ni upi??

Mkuu njia ya vijana waongo na wanafiki kisiasa ni fupi sana.Ukisoma post yangu nliyofanya multiple Quotes utaelewa huyu ni nani.Kuna ID nyingine ambayo sikutegemea.Amejichanganya tena.Ha ha.Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
Mkuu, na huyo nae tumweke mbali na simu zetu za mkononi?
 
Nimesikia katika uchambuzi wa magazeti ya leo startv kuwa Katibu Mkuu wa chama cha NCCR-mageuzi Samwel Ruhuza wamemsamehe Mbunge david Kafulila ili kuimarisha chama na kuepuka jimbo kupotea.

Chanzo: Magazeti ya leo asubuhi (Star tv)

We Ben mimi si kiongozi wa hicho chama unanifananisha na viongozi, nimesikia newz magazetini nami nawasilisha kama ilivyo.
Mkuu wewe si ndo umesomea ualimu wa watoto wenye mtindio wa ubongo pale SEKUCO?
Hukufundishwa somo la Kompyuta?
Ulisahau ku-log out kwa ID ya mtoto wa mnyonge?

Au na wewe una mtindio wa Ubongo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, na huyo nae tumweke mbali na simu zetu za mkononi?

Hapana mkuu huyu ni yule mgombea Urais ambaye alihama CHADEMA kwa kupinga vijana waliohamia kutoka vyama vingine waaipewe majukumu kwenye M4C. lakini yeye alipohamia NCCR-Mageuzi hakuchukua muda akapewa cheo cha uenezi akaamua kutupilia mbali ajenda yake.

Huyu sio yule mroho wa simu na fedha,ni yule mroho wa vyeo(Kidding) ha ha ha
 
Ni pigo kwa Chadema.

mmh. Hivi nyie magamba hasa wewe Ritz kila kitu ni cdm cdm cdm si uhamie huko logic sjaiona hapo pigo kwa cdm kivipi? Na kwanini isiwe kwa ccm,cuf,tlp etc acha ujinga wapiga urimbo huku mtaani tumechoka na ccm yenu maisha magumu sana mbwa kama wewe unaekula kodi zetu wakati sisi huku uswahilini hatuna uhakika hata wa mlo mmoja,hata maji safi ya kunywa unatuletea ujingaujinga wako hapa.
 
Mkuu unajua wewe ni uko kwenye kitengo cha uenezi cha vijana hebu andika vizuri

Niliwaonya MASALIA mapema kuwa huyu jamaa anaanzisha CHAUMMA huku yeye anaomba msamaha kichinichini huko NCCR-Mageuzi.

Baada ya kulipua lile dili la CHAUMMA jamaa aliamua kurudi fasta NCCR-Mageuzi.Kuna siku niliwaambia wana-JF hapa CHAUMMA hawatafanikiwa malengo yao hata iweje.Nia zao chafu za kuivuruga CHADEMA zitawamaliza wao.Na baada ya hapo walainza kumalizana kuanzia upande wa Zanzibar na kanda ya ziwa

Hii case ya kuunda CHAUMMA huku ukiomba msamaha kwenye chama kingine ni unafiki wa vijana wa wanasia Tanzania hii.

Anyway,afadhali ameshtuka kwamba yule mzee wa Tunguri na bingwa wa usaliti alitaka kumuharibia maisha.loh!

CC: nice2, kix

CC:Rais
endelea na huo mchezo wako muulize LUDO kilichompata? utaumbuka tu very soon.
hahaha ulitamani sana KAFULILA apigwe chini.
acha utumwa kijana
 
Kila binadamu anamapungufu yake, Kafulila kasamehewa baada ya kukiri makosa yake, Mungu amuongoze katika safari yake mpya.

Kwani keshafuta ile kesi ya kupinga kufukuzwa? All in all namtakia kila la heri.
 
hongrea kafulila ,ila msimamo wa vijana kwisha,maana chaumma watasema sio mda mrefu ufadhili wako
 
Chama cha upinzani kipo kimoja tu!!! Ukifukuzwa hata uombe msamaha hurudi. Shoza na Yule mwizi wa simu wanakijua hicho chama

thubutu, mmeshindwa kuwafukuza akina zitto na shibuda leo hii unaandika nyokonyoko yako hapa. mlijua na nyie fika kuwa majimbo hayo ndo kwa heri. mfano mzuri ni hilohilo jimbo la kafulila, kahama nalo fyuuuu!
 
Back
Top Bottom