BwahahahahaaaaaaaaaaHapana mkuu huyu ni yule mgombea Urais ambaye alihama CHADEMA kwa kupinga vijana waliohamia kutoka vyama vingine waaipewe majukumu kwenye M4C. lakini yeye alipohamia NCCR-Mageuzi hakuchukua muda akapewa cheo cha uenezi akaamua kutupilia mbali ajenda yake.
Huyu sio yule mroho wa simu na fedha,ni yule mroho wa vyeo(Kidding) ha ha ha
Chama cha upinzani kipo kimoja tu!!! Ukifukuzwa hata uombe msamaha hurudi. Shoza na Yule mwizi wa simu wanakijua hicho chama
Ben Saanane umemshika mtu leo,safi sana.
Mkuu unajua wewe ni uko kwenye kitengo cha uenezi cha vijana hebu andika vizuri
Niliwaonya MASALIA mapema kuwa huyu jamaa anaanzisha CHAUMMA huku yeye anaomba msamaha kichinichini huko NCCR-Mageuzi.
Baada ya kulipua lile dili la CHAUMMA jamaa aliamua kurudi fasta NCCR-Mageuzi.Kuna siku niliwaambia wana-JF hapa CHAUMMA hawatafanikiwa malengo yao hata iweje.Nia zao chafu za kuivuruga CHADEMA zitawamaliza wao.Na baada ya hapo walainza kumalizana kuanzia upande wa Zanzibar na kanda ya ziwa
Hii case ya kuunda CHAUMMA huku ukiomba msamaha kwenye chama kingine ni unafiki wa vijana wa wanasia Tanzania hii.
Anyway,afadhali ameshtuka kwamba yule mzee wa Tunguri na bingwa wa usaliti alitaka kumuharibia maisha.loh!
CC: nice2, kix
CC:Rais