Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Aliyekuwa mbunge wa NCCR Kigoma kusini baadaye kuhamia Chadema David Kafulila amesema kwamba VITA YA UNGA TUACHE MZAHA
Hii ni Vita ambayo Rais kama amejiandaa na amedhamilia kikosi maalumu cha Usalama wa Taifa pamoja na Jeshi la Wananchi kiingie kazini
kuwanasa mtandao huu wa kimataifa ambao Tanzania ni lango Afrika.
Tofauti na hapo hawa vijana wa JPM wataishia kutaja mateja na makarani wa wauza unga badala ya wenye biashara wenyewe. Nakumbuka waziri mmoja
aliwahi kusema wakitajwa uchumi wa Tanzania utayumba.
Bila shaka alimaanisha wamekamata mfumo kwa kiasi kikubwa na
hauwezi kuwakamata bila kuyumbisha mfumo