Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,133
Ukibisha kwa itikadi ya Chama, Dini, Kabila au Maslah UTAJAZA MWENYEWE
Wakenya wanapenda kutuita sisi WADANGANYIKA na mm kwa hili nakubali kwa 100% na naongeza kwamba "WADANGANYIKA " sisi ni WANAFIKI tena WANAFIKI kwa kiwango cha Kupitiliza!!
Hapo awali watu walikuwa wanasema Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam anawataja "vidagaa" kwenye vita dhidi ya madawa ya kulevya na wakasema "eti" anataka sifa!!; Sasa mm nashangaa amtakie sifa nani? Kwn kazi ya mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama wa mkoa ni ipi? Anyway Tutajie ww basi hao "dagaa"
Mtu anafyatuka na povu lnamtoka kwmba anataja vidagaa wkati yy hta hapa JF tupu anashndwa kuwataja !!
Akitaja makonda "anataka sifa" Ss una akili timamu kweli ww!! Mm naona HUNA AKILI TIMAMU KICHWANI MWAKO (Hakuna ubishi)
Mtu anaropoka tuu kwmba "oooh mbn majina Kikwete alipewa na hayajafanyiwa kazi na Magufuli anayo hayajafanyiwa kazi!!!, cjui nn na nn!!!
Mtu anayeropoka hvyo kmbe ni Meneja wa kampuni ya kuuza pembejeo za kilimo au labda n Secretary, au Afisa muajili mahali HANA CAREER YA MASWALA YA USALAMA au INTEREJENSIA na HAJUI CHOCHOTE ila kwvle anatumia Bundle ya bure kwenye PC ya kazini au Wi-Fi ya kazini anashnda kupost UPUUZI tuu!!
Unajuaje km Majina anayosema Makonda ndyo hayo aliyokabidhiwa Kikwete mpka Magufuli!?
Unajuaje km Mfumo anaotumia ndyo mfumo ambao wataalamu wa Kushughurikia Madawa ya kulevya / polisi ndyo wamemwmbia afanye hvyo?
Mbona Mnataka MAFISADI watangazwe Hadharani ila WAUZA UNGA wasitajwe?
Kwnn wakitajwa Ww povu linakutoka?
Kwnn Hujatajwa ww?
Mwsho wa siku, Kaa kimya kwsababu Hujui Nn kinakuja kwa Tanzania Mpya,
Mlitaka mabadiliko na Mabadiliko Chanya ndyo haya ,Tangu Hii nchi ipate Uhuru hakuna Kiongozi aliyethubutu kwenye hili kama Makonda
Ama laa kama vipi iwe kama hivi
Baada ya kumdhibiti Makonda, nisisikie mtu akilalamika juu ya madawa ya kulevya!
~Cmb