David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

mwakani wakianza kampeni za uchaguzi kafulila pande hii, mke pande ile, itakuwa heka heka humo ndani!
 

Mkuu...hivi wewe unamjua kafulila au unaota?
 
Hivi kumbe Jesca ni jiko lake la kitambo kimetulia

Yap yap...na mpka sasa mdau kaamua kukata mzizi wa fitna. kwa kuvuta chombo mtu kati , chezea utamu wa "conjugal right".
 
bila kujali itikadi zetu kisiasa, bila upinzani serikali ingetuchezea na kutufisadi saaaana kuliko hali ilivyo sasa
 
MODS wako wapi kuwafungia wanaomtukana KIONGOZI wa NCHI? sababu nakumbuka walifungiwa waliokuwa wanamtukana STEPHEN WASSIRA...

Jamii Forum ni Chombo HURU na HAKI hakielemei UPANDE MMOJA TUU....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…