Bwana Harusi David Kafulila wa pili kushoto akiwa na msimamizi wa ndoa yake Deo Filikunjombe wa kwanza kushoto na marafiki zake David Silinde wa kwanza kulia na Zitto Kabwe wa pili kulia. Mia
23, 2014
Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila akiwa na mai waifu wake Jessica Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye ukumbi wa Annex uliopo Uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014
Mhe David Kafulila akiwa kanisani na mai waifu wake wa Jessica Kishoa wakati wa kufunga ndoa katika kanisa la Roman Catholic katika Parokia ya uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014
Mhe David Kafulila na mai waifu wake Jessica Kishoa pamoja na wapambe wao Mhe. Deo Filikujombe na mke wake Sarah Filikunjombe wakipeleka keki kwa wazazi wa bwana harusi
:
Anamuoa Jesca Kishoa wa Chadema. Ukawa kama kawa
Hilo nami lilikuwa wazo langu umewahi kulitumia! Nadhani tungekuwa na wabunge 25% tuu wanaoweza kujitoa muhanga kama hawa vijana wizi na utendaji wa hovyo hovyo serikalini ungepungua sana kama sio kwisha.Mtoto atakayezaliwa aitwe Escrow bila kujali ni wa kike au wa kiume maana hiyo akaunti haikuwa na ubaguzi wa jinsi.
... Acha Kumwita Tumbili, Hebu Mpe Heshima Yake
Ndugu zangu tukiwa kwenye kashi kashi na suala la escrow ; kesho yule kijana aliyeitwa tumbili anategemea kufunga ndoa kesho huko kigoma.huyu si mwingine bali ndugu kafulila sijui kama mwizi Werema at a hudhuru a.
harusi yake imegharimiwa na iptl
Ni tumbiri anawashinda ujanja manyama ya mwitu kina Mwita! Murah!
Big up Kijana I hope first born wako utamwita Escrow
Anamuoa Jesca Kishoa wa Chadema. Ukawa kama kawa
Mtoto atakayezaliwa aitwe Escrow bila kujali ni wa kike au wa kiume maana hiyo akaunti haikuwa na ubaguzi wa jinsi.
Kila la kheri TUMBILI...
Nashauri first born aitwe NGEDERE...