David Kafulila amfurahisha Kikwete

David Kafulila amfurahisha Kikwete

Mwambie Kafulila aache unafiki mm nipo Igalula hapa kuna LAGOSA SECO waalim 8 4m 1-4 Jengo la maabala hata halijurikani leo ni siku ya 14 tangu mawasiriano ya cm yarejeetoka mwaka jana.kunashure ya BUHINGU Nayo vilevile Kunashure kama ILAGALA,SIGUNGA, nazo nivilevile hayo mawasiriano yakopyuta kiaje wakat hata cm eneokubwa hakuna.

Kuna vijiji zaid ya 10 ktk eneo la mwambao wa ziwa tanganyika hamna mawasiliano ya cm na kuna shure huko kama vile Katumbi, storo, nkonkwa, kalilani, mgambo, Igalula, lukoma, mgambaz, kapala, herembe, sigunga, kalilani nk ambako Toka kafulila aingie bungeni kazuru huko mara 1 tu, tena tarafanitu.

sasa sijui anaongelea kwao Nguruka,Uvinza na Kazuramimba
 
Hivi hizo maabara nani atafundishia ikiwa hata walimu wa Kiswahili tu ni shida?

Kwanza shule zenyewe zilikuwa hamna, umesahau ni juhudi za nani zilizofikisha mashule kila kata?

Zilipojengwa shule mkasema hazina Waalimu, walipokuwepo mkasema hazina maabara! zimekuja, mnauliza nani atafundishia? wakija wakufundishia sijui mtauliza nini?

Damned if you do damned if you don't.
 
Kwanza shule zenyewe zilikuwa hamna, umesahau ni juhudi za nani zilizofikisha mashule kila kata?

Zilipojengwa shule mkasema hazina Waalimu, walipokuwepo mkasema hazina maabara! zimekuja, mnauliza nani atafundishia? wakija wakufundishia sijui mtauliza nini?

Damned if you do damned if you don't.

Nenda Zanzibar kwenye maandamano ya kutaka Jk na Shein wawarudishe kina Sheik Fareed Unguja
 
Ina maana hujui maana ya Dola na composition ya Dola? wewe umekariri tu kuwa dola ni polisi nyambafu wewe, hawa Lumumba vipi? kaanze darasa la Nne utajua, au tafuta chuo chenu kile ihemi ukajifunze.
 
Nimemsikia Kafulila akihojiwa na ITV kipindi cha Dakika 45 usiku wa tarehe 17/11/2014 akisema kuwa mikataba ya gesi ina kipengele kinachosema kuwa itakuwa ruksa kuonwa ikihitajika na chombo cha dola kikiihitaji.Akasema bunge ni sehemu ya dola kwa hiyo mikataba inaruhusu waione lakini serikali haitaki kuwapa.
Je bunge ni kweli ni sehemu ya dola?
Haya ndio madhara ya elimu ya kukalili! Nigekuwa mimi ndio wewe ninge ufuta uzi huu kuondokana na aibu!
 
Kafulila yuko vizuri sana, tangu enzi za Shy Bush.
 
Hivi hizo maabara nani atafundishia ikiwa hata walimu wa Kiswahili tu ni shida?
Umeielewa mada au umeenda mbali zaidi! Haijalishi kama hizo maabara zitatumika au hazitatumika cha msingi hapo kikwete amefurahi au amefurahishwa.Sio mawazo yangu ila ya mleta mada
 
Imethibitika kuwa jimbo la Kigoma Kusini ambalo linaongozwa na mbunge David Kafulila ndio jimbo pekee Tanzania ambalo shule zake zote za sekondari zimefanikiwa kuwa na maabara(laboratory) tena zenye vifaa vya kujifunzia kwa vitendo,

Jimbo hilo lenye shule 17 zenye maabara kati ya shule hizo, shule 3 zina mfumo wa kisasa kabisa kama simu, fax, na kompyuta. Akizungumza jana na ITV katika kipindi cha dakika 45 kafulila aliongeza kwa kipindi chake kilichosalia anataka kuakikisha shule zilizobakia zinapata, simu fax, na kompyuta,

Hali hiyo imemfurahisha sana JK kwani ameona ni mbunge pekee alieonyesha kwa 100% kwa vitendo kampeni yake kuakikisha kila shule inakuwa na maabara za sayansi katika mashule ya sekondari hapa nchini

tamimusalim kwa hiyo Kufulila anafanyakazi kwa kumfurahisha Professor feki wa Kichina?, sio anatimiza wajibuwake kama mbunge kusimamia na kuhakikisha miradi ya maendeleo inapelekwa kwa wananchi?
 
tamimusalim

Mh.Kafulila kwa sasa yuko kitaifa zaidi hadi majizi ya ESCROW yanyooshe mikono, hii mbinu yako ni kumbembelezA KAFULILA ALEGEZE KAMBA,
Tumbiri yuko imara lazima majizi yaswekwe rumande

Fedha za escrow ni mali ya IPTL WEWE wacha kuropokwa, endelea na ushabiki wako wa kushangilia usivyovijua. Mpime presha huyo tumbiri wako sahizi uone, escrow kitu kingine wewe sivyo kama wewe unavyofikiri.
 
Fedha za escrow ni mali ya IPTL WEWE wacha kuropokwa, endelea na ushabiki wako wa kushangilia usivyovijua. Mpime presha huyo tumbiri wako sahizi uone, escrow kitu kingine wewe sivyo kama wewe unavyofikiri.
Ni kitu gani na yeye anafikiri nini??!!
Na wewe unajua nini yeye asichokijua???!
 
Back
Top Bottom