David Kafulila amfurahisha Kikwete

David Kafulila amfurahisha Kikwete

Siyo kazi ya mbunge kuchangia ujenzi. Chama cha mabusha ndio wabunge hawajui wajibu wao.

Kazi kubwa ya mbunge ni kuishauri na kuisimamia serikali kama kwenye hili la Escrow.

Hongera kafulila, wenzio wakisikia serikali imeagiza ujenzi wa maabara kesho yake maandamano!
 
kwa hili Kafulila anasitahili pongezi sana wabunge wote wa UKAWA wameshatekeleza ahadi zao kwa asimilia 99
 
Imethibitika kuwa jimbo la Kigoma Kusini ambalo linaongozwa na mbunge David Kafulila ndio jimbo pekee Tanzania ambalo shule zake zote za sekondari zimefanikiwa kuwa na maabara(laboratory) tena zenye vifaa vya kujifunzia kwa vitendo,

Jimbo hilo lenye shule 17 zenye maabara kati ya shule hizo, shule 3 zina mfumo wa kisasa kabisa kama simu, fax, na kompyuta. Akizungumza jana na ITV katika kipindi cha dakika 45 kafulila aliongeza kwa kipindi chake kilichosalia anataka kuakikisha shule zilizobakia zinapata, simu fax, na kompyuta,

Hali hiyo imemfurahisha sana JK kwani ameona ni mbunge pekee alieonyesha kwa 100% kwa vitendo kampeni yake kuakikisha kila shule inakuwa na maabara za sayansi katika mashule ya sekondari hapa nchini

tujadi mamboya msingi ya wizi wafedha za umma, nilitarajia RAIS amsifu mh kafulila kwa kuibua na kusimamia wizi na ufisadi mkubwa wa pesa nyingi za umma
 
Kuona huoni hata kusikia husiki wala hustuki?

Kuna umma unaitwa IPTL?

CAG kasema ni za Umma yaani Tanesco

Huyo CAG wa Kafulila labda! Au ulimsikia peke yako, Chanzo cha habari tafadhari? JF! teh teh teh teh! :smile-big:
 
Nilifikiri amefurahia jinsi anavyofanya kazi nzuri ya kufichua wizi na maovu ya TANESCO ...
 
Acha mashauzi kujitia unajua na kutingisha watu!!!!!
Ukibanwa unaachia mashuzi ya vijineno vya shombo! !!
Unplanned offsprings mna shida sana tangu ujio wenu mpaka kuishi

Wewe unajua nini asichojua yeye au wengine juu ya mada husika??!!!!

Umenibana na nini Kig0r! mcha/fu wewe? MkUnD,u? Usipanic, fedha za escrow ni mali halali ya IPTL haitokuja kubadilika. mkiambiwa msubiri ripoti mnapanic, mnaogopa, ndio msema kweli tumbili wewe.
 
Imethibitika kuwa jimbo la Kigoma Kusini ambalo linaongozwa na mbunge David Kafulila ndio jimbo pekee Tanzania ambalo shule zake zote za sekondari zimefanikiwa kuwa na maabara(laboratory) tena zenye vifaa vya kujifunzia kwa vitendo,

Jimbo hilo lenye shule 17 zenye maabara kati ya shule hizo, shule 3 zina mfumo wa kisasa kabisa kama simu, fax, na kompyuta. Akizungumza jana na ITV katika kipindi cha dakika 45 kafulila aliongeza kwa kipindi chake kilichosalia anataka kuakikisha shule zilizobakia zinapata, simu fax, na kompyuta,

Hali hiyo imemfurahisha sana JK kwani ameona ni mbunge pekee alieonyesha kwa 100% kwa vitendo kampeni yake kuakikisha kila shule inakuwa na maabara za sayansi katika mashule ya sekondari hapa nchini

Kama kazi ya wabunge itakuwa kujenga maabara, shule, hospitali, barabara, kuleta maji, piga ua nchi hii RUSHWA kwa wabunge haitakwisha.

Kwa kuwa Watanzania tumekubali hizo kazi za maendeleo ziwe za wabunge na sio serikali ndiyo maana akina Prof Tibaijuka wanachukuwa pesa ya IPTL (blood money) ili waweze kufanya kazi hizo!
 
....Je bunge ni kweli ni sehemu ya dola?[/QUOTE]
siamini kama uko serious na swali lako. Ni kweli watanzania tuna upungufu wa elimu ya uraia lakini si kwa kiasi hicho. Dola linaundwa na bunge, mahakama na serikali.
 
Atwambie mchango wake kwenye huo ujenzi ni kiasi gani au shilingi ngapi.

Kafulila atakuwa mtovu wa shukran kama hawezi kumtaja #Ali Kalufya,, huyu jamaa anaishi Denmark ni mzaliwa wa pale Uvinza wazazi wake wako pale ,, yule ni mvinza ameisaidia sana Wilaya hiyo.. actually familia ya Kaluvya ndio waliosukuma hata kupatikana kwa Radio Uvinza.. kuna miradi ya maji na mingine ni huyu bwana kafanya .. so kama katika jimbo lako kuna watu kama sio vizuri kujivutia sifa pekee wakati unajua wamekusaidia kutimiza wajibu wako... wavinza wanajua yote haya nisemayo.
 
Atwambie mchango wake kwenye huo ujenzi ni kiasi gani au shilingi ngapi.

Kafulila atakuwa mtovu wa shukran kama hawezi kumtaja #AliKalufya ,, huyu jamaa anaishi Denmark ni mzaliwa wa pale Uvinza wazazi wake wako pale ,, yule ni mvinza ameisaidia sana Wilaya hiyo.. actually familia ya Kaluvya ndio waliosukuma hata kupatikana kwa Radio Uvinza.. kuna miradi ya maji na mingine ni huyu bwana kafanya .. so kama katika jimbo lako kuna watu kama sio vizuri kujivutia sifa pekee wakati unajua wamekusaidia kutimiza wajibu wako... wavinza wanajua yote haya nisemayo.
 
Back
Top Bottom