breki sifungi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 694
- 409
jambo jema, lakin hujasema ni wapi jk amedhrisha furaha yake, je alimpgia cm, au ikulu imetoa tamko? coz jk hayupo nchin
Mwambie Kafulila aache unafiki mm nipo Igalula hapa kuna LAGOSA SECO waalim 8 4m 1-4 Jengo la maabala hata halijurikani leo ni siku ya 14 tangu mawasiriano ya cm yarejeetoka mwaka jana.kunashure ya BUHINGU Nayo vilevile Kunashure kama ILAGALA,SIGUNGA, nazo nivilevile hayo mawasiriano yakopyuta kiaje wakat hata cm eneokubwa hakuna.
Kuna vijiji zaid ya 10 ktk eneo la mwambao wa ziwa tanganyika hamna mawasiliano ya cm na kuna shure huko kama vile Katumbi, storo, nkonkwa, kalilani, mgambo, Igalula, lukoma, mgambaz, kapala, herembe, sigunga, kalilani nk ambako Toka kafulila aingie bungeni kazuru huko mara 1 tu, tena tarafanitu.
sasa sijui anaongelea kwao Nguruka,Uvinza na Kazuramimba
Siyo kazi ya mbunge kuchangia ujenzi. Chama cha mabusha ndio wabunge hawajui wajibu wao.
Kazi kubwa ya mbunge ni kuishauri na kuisimamia serikali kama kwenye hili la Escrow.
mzee jk ni mtu wa maendereo sana vitu vingine vya wapinzani uvifulaiya sana ila awezi kuonyesha sababu za itikadi na yapo mengine makubwa ndani ya ccm ayapendi hata kusikia ila anavumilia si unajua itifaki inazingatiwa makulujambo jema, lakin hujasema ni wapi jk amedhrisha furaha yake, je alimpgia cm, au ikulu imetoa tamko? coz jk hayupo nchin
Matola,
Kwa mujibu wa katiba ya JMTz ya mwaka 1977. KAZI YA MBUNGE NI KUTETEA SERA NA ILANI ZA CHAMA CHAKE na sio kuwatetea wananchi.
Nilitaka tu kukupa angalizo mkulu.
Good Tumbiri! kama kweli umetimiza hilo la maabara, sababu kila mwanasiasa akiwa nyuma ya kipaza anaongea anavyoweza. Lakini kwenye escrow :A S thumbs_down:. Mkuu zile fedha ni za IPTL, lakini majibu mazuri yatatoka kwenye ripoti ya CAG.
teh teh teh!!!!!!Wazee wa tezidume
Vipi kigor! ushavunj@ ung0 unatafuta b@sha sasa!
Atwambie mchango wake kwenye huo ujenzi ni kiasi gani au shilingi ngapi.
Hongera mkuu, uandishi wako unasomeka vizuri sana hauitaji miwani.Mwambie Kafulila aache unafiki mm nipo Igalula hapa kuna LAGOSA SECO waalim 8 4m 1-4 Jengo la maabala hata halijurikani leo ni siku ya 14 tangu mawasiriano ya cm yarejeetoka mwaka jana.kunashure ya BUHINGU Nayo vilevile Kunashure kama ILAGALA,SIGUNGA, nazo nivilevile hayo mawasiriano yakopyuta kiaje wakat hata cm eneokubwa hakuna.
Kuna vijiji zaid ya 10 ktk eneo la mwambao wa ziwa tanganyika hamna mawasiliano ya cm na kuna shure huko kama vile Katumbi, storo, nkonkwa, kalilani, mgambo, Igalula, lukoma, mgambaz, kapala, herembe, sigunga, kalilani nk ambako Toka kafulila aingie bungeni kazuru huko mara 1 tu, tena tarafanitu.
sasa sijui anaongelea kwao Nguruka,Uvinza na Kazuramimba
Atwambie mchango wake kwenye huo ujenzi ni kiasi gani au shilingi ngapi.
nimetoa tread watu wabadilishane mawazo sio matusi wakuuAcha mashauzi kujitia unajua na kutingisha watu!!!!!
Ukibanwa unaachia mashuzi ya vijineno vya shombo! !!
Unplanned offsprings mna shida sana tangu ujio wenu mpaka kuishi
Wewe unajua nini asichojua yeye au wengine juu ya mada husika??!!!!
Hongera mkuu, uandishi wako unasomeka vizuri sana hauitaji miwani.