Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Kampeni za kujikamatisha zimesha anza.
CCM kweli mwisho umewadia tayari,''
JIANDAENI KISAIOKOLOJIA
Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.
Nina uhakika kwamba wewe ni mwanasheria tena naffikiri ni wakili mzuri,NIULIZE...hivi ni haki kuchangia maendeleo wakati tunalipa kodi,vip na hii kisheria imekaa vipi mahakamani,je kuna uwezekano wa kuwashida mahakamani kama sio utaratibu kuchangia na ukaidai serikali fidia ya kudhalilishwa n.k?Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.
Chanzo: Jamaa aliye Kígoma
Akili matope hiyoNina uhakika kwamba wewe ni mwanasheria tena naffikiri ni wakili mzuri,NIULIZE...hivi ni haki kuchangia maendeleo wakati tunalipa kodi,vip na hii kisheria imekaa vipi mahakamani,je kuna uwezekano wa kuwashida mahakamani kama sio utaratibu kuchangia na ukaidai serikali fidia ya kudhalilishwa n.k?
Mtu mmoja anaangamiza mamia ili apate umaarufu.Wenzenu Kilimanjaro walishachangia maendeleo hadi basi.Sasa hivi wana mashule mazuri na maendeleo kibao sekta za jamii.
Nyie wa kigoma na vumbi na viroboto kwenye miguu mko nyuma kimaendeleo mnahamasishana msichangie maendeleo mtajijua.Wenzenu walishamaliza kuchangia kwenye mikoa yao kama kilimanjaro sasa hivi ni kula kuku na kupiga siasa za bla bla kwenye majukwaa nyumbani kuko vizuri hamna nyumba iliyoezekwa kwa nyasi kama kigoma.
Acheni kuchangia maendeleo mtabaki watumwa wa watu wa kilimanjaro hadi mfe kwa ulofa.
Nina uhakika kwamba wewe ni mwanasheria tena naffikiri ni wakili mzuri,NIULIZE...hivi ni haki kuchangia maendeleo wakati tunalipa kodi,vip na hii kisheria imekaa vipi mahakamani,je kuna uwezekano wa kuwashida mahakamani kama sio utaratibu kuchangia na ukaidai serikali fidia ya kudhalilishwa n.k?
Tumbili anajimaliza mwenyewe.Huko ndiko watamuwekea polonium. Wanatafuta njia ya kummaliza.