Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,357
- 26,925
Karibu kundiniKafulila ahama NCCR, ahamia Chadema
Dar es Saam. Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, amekihama chama hicho huku akieleza kuwa anajiandaa kuhamia Chadema.
Kafulila alithibitisha taarifa hizo na kusema tayari ameshawasilisha barua ya kujivua uanachama wa NCCR na kujiunga Chadema leo.
“Nimewashukuru kwa kuwa pamoja katika kujenga chama na nafasi ya uenezi waliyonipa mara zote. Nimeweka wazi kuwa natarajia kujiunga na Chadema. Nimeona kuwa kuna mahitaji ya watu wenye nia ya mabadiliko kuwa katika chama kimoja ili kufupisha safari.” alisema
View attachment 446944
SOURCE: Mwananchi
Haiwezekani kwani ujamsikia ktk matukio yaliyopita yakuwa walezi wake na waliomuingiza ktk siasa ni hao hao siemHata zito atarudi chadema
Mkuu, kuna mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Hili la uanachama siyo la muungano! (Rejea kumbukumbu za muungano).Kaenda kwa mkewe, sioni kama ita muimarisha yeye kisiasa bali ita msaidia mkewe zaidi.
Halafu kama wote NCCR na CDM ni UKAWA kuna haja gani ya Kafulila kuhama!? Au ndio umoja wa mashaka wenyewe!!
Messi wa barca kuhamia Barcelona kuna tofauti?UKAWA wameanza kuchukuliana Wachezaji!
[emoji3] [emoji3] Pro-PesaMbatia naye anakuja, Maalimu naye huku mtabaki na propesa
Mh kwa huyu jamaaa mwenye asili ya nchi ya jirani sio rahisi2020 viti vingi vitaenda upinzani ila ikulu hatoki m2 ni mbele kwa mbele 2
Haiwezekani kwani ujamsikia ktk matukio yaliyopita yakuwa walezi wake na waliomuingiza ktk siasa ni hao hao siem
Hii shule imewakalia kushoto hawa ukawa. Siku si nyingi pakifukuta , wale Masalia wa Dr. Slaa utasikia wameondoka Chadema na kuhamia NCCR. Siasa zinaendelea.Msihamishe watu vyumbani bomoeni kuta zinazo tenganisha vyumba muwe na ukumbi mmoja mkubwa.
Hilo ndio wazo langu
Mkuu mbona kama umekereka sana? ulitaka ahamie kile chama chenye ushirika na 'yule mwovu' aliyefukuzwa paradiso au?Watakwambia Ukawa ipo pale pale! Huku wanachukuliana wachezaji
Messi wa barca kuhamia Barcelona kuna tofauti?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Weeeeeee [emoji35] mfano gani huu unaleta?
Like serious baby umekosa kabisa mfano mwingine wa kufanania wangu?
Thubutu yako ndio utajua kwanini ni lazima ulale chumbani kwako tu [emoji379]
unayumba yumba sana,jikite kwenye hoja. Hakikisha kabla kuchangia hutumii viminika au mosho wenye ulevi dogo.