David Kafulila ahamia CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

Nyie si ndiyo waraghibishi wa hamsini kwa hamsini unashangaa nini sasa. Kama Kafulila anatunzwa na mkewe ambaye si dada ama mama yako tatizo lipo wapi?
 
Kafulila alibisha eti Kwny Ubunge wake hakukuwa na Nguvu wala ushawishi wowote wa Zitto wakat ni Zitto huyo huyo alimpa mpaka Magari manne ya Kampeni 2010 lakin this time (2015) aliposhindwa akarudi kulaumu eti Zitto kachangia kushndwa kwake!
Kujenga ni kazi kuliko kubomoa! Kwa ivo inawezekana kabisa Kafulila hakusaidiwa na Zitto kuwa mbunge lakini akafitiniwa na Zitto akaukosa Ubunge!!
 
Kafulila ameshindwa na dola maagizo toka juu,
 
Kujenga ni kazi kuliko kubomoa! Kwa ivo inawezekana kabisa Kafulila hakusaidiwa na Zitto kuwa mbunge lakini akafitiniwa na Zitto akaukosa Ubunge!!

Asiekuwa na ushawishi wa kuchaguliwa kwako anakuaje na ushawishi wa kutochaguliwa kwako? Hata kufukuzwa kwa Kafulila Chadema ni kutokana na kuwa kwake Mtiifu kwa Zitto na hatimae akaukwaa Uenyekt wa Bavicha Taifa kina Mbowe wakafuta Matokeo wakamfukuza Then wakaitisha tena Uchaguzi
 
wakuu
wakuu hii haitaitiia dosari UKAWA?
 
Kafulila ameshindwa na dola maagizo toka juu,

Hata Lowassa si kashndwa na Dola maagizo toka juu! Kwan Jimbo gani Mmeshindwa kihalali yote so tunaambiwa kura zimebiwa?
Hakuna Uchaguzi mlioshindwa kihalali tangu 1995

Mlimtosa Slaa kuwa Hana Mbinu za kupambana na CCM na Matokeo yake mkamchukua mgombea wa Kina Kingunge mkadai wanaweza kudhibiti hujuma zote kwa kuwa wanazijua lakin baada ya Uchaguzi mkarudi tena kutuimbisha kuwa kura zimeibiwa
 
Baadae CCM watajuta kwanini wameunda mgogoro ndani ya CUF maana CUF (ya <Maalim Seif) ikihamia CHADEMA, mchezo wa bao utakuwa umeisha. Ukichanganya nguvu ya CUF ZNZ na CHADEMA Bara, utamu unakolea!
 
CCM bhana!! Mtu yuko kwenye ndoa yake na anaishi na familia yake amfuate mke wapi? Tumia akili kidogo wewe, mbona huwasemi Mwigamba na Machali umekalia umbea tu.Taarabu peleka Jahazi kule.
 
Tuchukukie mfano una nyumba kubwa yenye vyumba vingi (UKAWA)...
Kwanini ulale chumba kimoja miaka yote?
Kuna ubaya kuhamia chumba kingine ndani ya nyumba hiyohiyo moja?
Au tuchukulie mfano nyumbani kwako unakaa na wanawake watatu.. Mkeo, mdada wa kazi na mdogo wake mkeo!
Kuna haja gani kila siku ulale chumbani kwako tu wakati nyumba ina vyumba vingi [emoji23] [emoji23]
 
Baadae CCM watajuta kwanini wameunda mgogoro ndani ya CUF maana CUF (ya <Maalim Seif) ikihamia CHADEMA, mchezo wa bao utakuwa umeisha. Ukichanganya nguvu ya CUF ZNZ na CHADEMA Bara, utamu unakolea!
Hicho kitu hakiwezekani kamwe.
 
Baadae CCM watajuta kwanini wameunda mgogoro ndani ya CUF maana CUF (ya <Maalim Seif) ikihamia CHADEMA, mchezo wa bao utakuwa umeisha. Ukichanganya nguvu ya CUF ZNZ na CHADEMA Bara, utamu unakolea!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] baada ya 2020 tutakuwa tunasema 2025 lazima tuwang'oe. Hizo nyimbo ni going concern!
 
Wakati huo huo machali anategemea atapewa cheo kwa kujiunga na magamba
 
Sasa nimehamia mtaa wa pili[emoji442][emoji442][emoji441][emoji441][emoji441] ile nyumba sio nyumba ilikuwa na mi....[emoji442][emoji442][emoji442][emoji442]titiii tiriirriirrrr titi tiriiii[emoji450][emoji450][emoji450][emoji450] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimejikuta naimba haka kawimbo ka enzi zetu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…