Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Waziri mkuu wa Uingereza amekaririwa na BBC kuwa Waingereza wasione shida kujitambulisha kuwa wao ni Taifa la Kikristo na wajivunie yale yote (values) yatokanayo na Ukristo !
Ushoga ni moja ya values za Ukristo au ni values za Kiingereza ?ni kweli. tena wakrito wenyewe ni anglicana. ova
Ushoga ni moja ya values za Ukristo au ni values za Kiingereza ?
Hakuna baya kwa yeye kusema hivyo.
Waziri mkuu wa Uingereza amekaririwa na BBC kuwa Waingereza wasione shida kujitambulisha kuwa wao ni Taifa la Kikristo na wajivunie yale yote (values) yatokanayo na Ukristo !
Ni kweli kabisa, na hakuna tofauti na taifa la ZambiaNi sawa tu akisema hivyo, hakuna tofauti na Saudi or Iran kujiita nchi ya Kiislamu.
Kwan nani kaandika kuna ubaya we NYANI?
Ushoga ni moja ya values za Ukristo au ni values za Kiingereza ?
Sasa values za kikristo mbona analazimisha wengine wazifanye? tena kwa ubabe!safi tu, kila nchi ina misimamo yake, indonesia ni taifa la kiislam, i dont see anything wrong, unless tunataka kuleta povu lisilo na msingi
Hivyo ni values za Kiislaam na Kiiran zinazotekelezwa na kutetewa na Wakristo wa Uingereza! au ?! ............... inaingia akilini ?ni values za kiislam na nivalues za kiilan. ova
Values za nchi husika ni haki kuzishurutisha wengine zisizo wahusu wazifanye?Ni sawa tu akisema hivyo, hakuna tofauti na Saudi or Iran kujiita nchi ya Kiislamu.
Wazambia moja ya values zao ni wanaume kutotahiri, je ni haki kulazimisha wanaotahiri waache ? Tena kwa vitisho !Ni kweli kabisa, na hakuna tofauti na taifa la Zambia
Values za nchi husika ni haki kuzishurutisha wengine zisizo wahusu wazifanye?