The British are a funny bunch for a modern state populace ( are they?). Their head of state, a queen for that matter, is the head of the Church of England. So Cameron is right in stating a de jure matter. De facto, Britain is turning more towards apathy, agnosticism and atheism.
Jamii zenye ushoga mara nyingi hujifanya kupinga sana ushoga. Kama yule mchungaji wa wahafidhina wa Kimarekani aliyekuwa anashambulia ushoga kwa sana baadaye watu wakajakumnasa na yeye ni shoga. Kama Newt Gingrich alivyokuwa anamshambulia sana Bill Clinton kwa kuwa na infidelity na Monica Lewinsky wakati Newt Gingrich mwenyewe wakati huo huo ana cheat on his wife.
Kisaikolojia hii inajulikana kama "Projection". Kabla ya kuwanyooshea vidole Waingereza kwa kuheshimu haki za mashoga tuangalie jamii yetu wenyewe.
Waafrika wengi wanapinga sana ushoga kama ushoga kwetu haupo, wakati Ilala Bungoni na sehemu zote za miduara mashoga kibao.
David Cameron anatetea haki za mashoga kuheshimiwa kama raia wengine, ni sehemu ya kuheshimu binadamu wote.
Ubaguzi wa mashoga hauna tofauti na ubaguzi wa watu weusi. Ni ubaguzi.
And I am not gonna say I even have gay friends, cause I don't.