Yaawn. Time to sleep.
Wakuu nani anafahamu nauli ya kwenda Unguja kutokea Dar?
Wakuu nani anafahamu nauli ya kwenda Unguja kutokea Dar?
25,000.....
naanza kuunga dots
Thanks lovie. Ukimuona Mr Rocky mwambie najua ananimisi basi tu najitoa fahamu.
Aisee inategemea best.
Kwa ndege ama kwa boti?
Thanks lovie. Ukimuona Mr Rocky mwambie najua ananimisi basi tu najitoa fahamu.
salam za hivi nitafikisha kweli
Umemtuma #baqzazi Mtoto halali na hela utafikiri zitafika Karucee nakumiss mbaya aise
Uko salama wewe
Kwa Boti best,
Nasikia Bakhresa ana boti kali kweli..