Data za mwenendo wa basi la Super Feo lililo pata ajali

Iyo speed ya kawaida na haina shida yoyote. Sehemu kibao cha 50 kinapoisha unaweza tembea upendavyo ila ukizidi 85 una haki ya kulipishwa faini kama ukipigaa tochi
 
Yani shida sanaaa mkuu..!! Una thamani ukiwa umekamilikaaa hata Kwenye Majeshii hii ndo ipo sanaa
 
Hiyo speed tracking nimeipenda sana,pole kwa wahanga wa ajali...
 
Hiz data zinatoka SUMATRA au LATRA?
 
Pole kwa dereva na abiria wote walioumia
 
Acha Tu!
Tunapiga soga humu, tunatukanana wakati mwingine lakini kuna wakati ukitulia peke yako huku ukiwa umesikia habari kama hizi kuna mawazo Fulani hivi yanakuja kuhusu haya maisha unaweza kujikuta unamwaga machozi kabisaa. Nikifikiria maisha yalivyo sasa, magumu kupitiliza, kila mtu na chake au lake; ndugu WA tumbo moja anakutoa nduki, halafu nikijaribu kufikiria hao wategemezi WA huyu dada,.....DAH!!!
 
Kama alokua speed mbona gari haina hali mbaya sana.
Maana ajali ukiambiwa huyu alikua spid unaona kabisa jinsi ilivosagika.

Labda ilikua bahati mbaya tu, katika kukwepa kitu au ngoma yenyewe tu iliroga.
Nimemhurumia sana huyo dada aisee.
 
Speed 80 kwa bus ni mwendo wa kawaida kabisa na ni mwendo salama ila ajali huwa haina mjanja ndo maana ikaitwa ajali
 
Poleni sana ndugu zangu. Tuyakabidhi maisha yetu kwa Kristo hata kama tutatwaliwa katika maisha haya batili, tukae naye milele.


YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…