The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,404
- 9,234
Mara nyingi simu yangu inapoleta noticification ya phone storage space is getting low huwa naclear data baadhi ya application, swali je huwa zinakwenda wapi?
Kwenye main server ya kampuni husika na pia kwenye satelite hko angani.
Yaani humu duniani hakuna siri ati unasema nime delete hawatapata ushahidi wa msg au picture, wataalam wakiamua wanenda hasi huko kwenye seva wanafukunyua msg na calls zako zote wanakutumia.
Labda uharibu main server na satelite huko angani zinazopeleka mawimbi ya mawasiliano. Si mtaalamu sana wa mambo ya IT ila huo ndo ujuzi na ufahamu nilionao juu ya hilo.
vp kwa camera digital au vifaa vingine kama mp3 player,flash
Kwenye smartphone za Samsung huwa kuna kitu kama jicho.Huwa lina one kana mara moja moja liki toke za na kupotea eneo la juu la screen Kwa anayejua lile ni nini? .
Kuna mtu aliniambia kuwa ni camera ya siri.
I napiga picha na kuzirusha kwenye main server ya Samsung. Ni kweli?
Shukrani sana mkuuData kitaalamu zinakua stored in binary form, ones or zeros (1's,0's),on or off,Actualy,hufuti data kwenye digital camera,HDD nk,bali inakua flaged(marked) as free,ambapo uko mbeleni inaweza kuja kuwa overwritten na data nyingine.
Nikisungumzia zaidi mechanisim ya disk drives kama HDD etc, zile bit of data zinakua arranged in concentric, circular paths zinazoitwa 'tracks',kila track inavunjwa katika sehemu ndogo ndogo zinazoitwa 'sectors',sasa kuna kipart cha disk drive kinastore map za sectors zilizotumika na zilizo free,kwenye os kama ,(linux hiyo map inaitwa 'ext'(extended file sytem) na windows inaitwa FAT(file allocation table) au MFT(master file table){for NTFS}),hizi sector zinakua zimebebana,'imagine chapati zilizobebana'.Sasa zikiwa overwritten sana zina evaporate tu(hapa sijui zinaenda wapi),so kwamfano ukifuta file na ukawahi kurecovery,data zako unazipata kama kawa.